ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Sawa, jifanye huijui capitalismKwanini wasiingie wakati kila gari ina idadi ya watu wa kuchukua kwenye kadi yake?
Kisheria daladala haziruhusiwi kusimamisha abiria bwashee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa, jifanye huijui capitalismKwanini wasiingie wakati kila gari ina idadi ya watu wa kuchukua kwenye kadi yake?
Kisheria daladala haziruhusiwi kusimamisha abiria bwashee!
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi a mawasiliano ameitaka mamlaka ya udhibiti usafiri wa ardhini ( Latra) kukutana mara moja na kutoa mwongozo juu ya idadi ya abiria wanaoruhusiwa kusimama ndani ya daladala na Mwendo kasi ili kupunguza msongamano.
Waziri Kamwele ameyasema hayo mjini Dodoma alipokuwa anaelezea hatua zinazochukuliwa na wizara yake ili kujikinga na virusi vya korona.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
TB inatibika, hata Corona ikipatikana dawa maisha yatakuwa kama kawa tu.Wataalamu wa afya wanasema TB inaambukizwa kwa njia ya hewa, na imekuwepo siku zote hapa Tz, na kila siku kuna zaidi ya watu 500 wanakufa au kuambukizwa TB hapa Tanzania na hakuna hatua zozote za kupambana na msongamano wa kwenye basi au daladala zimekuwepo ili kupunguza maambukizi ya TB.
Sasa waziri anataka kusema nini haswaa?
Corona ndio inatushinikiza hivi?
Hivi waziri anajua Corona si kitu mbele ya TB?
Kwani miongozo ya abiria wangapi wanatakiwa kwenye chombo cha usafiri husika hakuna Tz?
Mimi najua Ujamaa bwashee!Sawa, jifanye huijui capitalism
Leo nimepata meseji inasemaCorona Virus Diseases 19
Itatupa Wakati Mgumu Sana
Naona Matamko Ni Mengi Sana
unajidai unajua sana kumbe kichwani umebeba kunyesi. ni sheria gani hio inasema hivyo?Hakuna idadi yoyote ya abiria wanaouruhusiwa kusimama katika gari yoyote ya abiria,hakuna muongozo wowote unaohitajika hapo,acheni kupoteza muda.
Sent using Jamii Forums mobile app
HaaLeo nimepata meseji inasema
Ile sadaka ya wiki hii tuma kwenye namba hii

Kwanini?