tpaul Platinum Member Joined Feb 3, 2008 Posts 27,843 Reaction score 29,350 Sep 5, 2026 #121 King Kong III said: Anaenda serikali kama familia yake nyumbani ,hajui sheria zinasemaje ,mtu ana jinai halafu unamwita kihuni huni...Dudubaya akiwa na wanasheria wazuri angekaza tu akamwambia wamtafute mwanasheria wake kwanza. Click to expand... Hata mimi nimeshangaa mkuu. Wanamtafuta kishoga sana.
King Kong III said: Anaenda serikali kama familia yake nyumbani ,hajui sheria zinasemaje ,mtu ana jinai halafu unamwita kihuni huni...Dudubaya akiwa na wanasheria wazuri angekaza tu akamwambia wamtafute mwanasheria wake kwanza. Click to expand... Hata mimi nimeshangaa mkuu. Wanamtafuta kishoga sana.
K Kiboko ya Mazwazwa JF-Expert Member Joined Feb 22, 2026 Posts 1,802 Reaction score 3,271 Sep 5, 2026 #122 Kinoamiguu said: Yule chizi mwaipopo kaalika waandishi kabisa yaani Click to expand... Na hapo ndio utakua kuwa ni kutafuta trending ambayo imebuma maana wameingia kipindi kibaya Cha kesi ya Lissu inayofuatiliwa na kila mwenye akili.
Kinoamiguu said: Yule chizi mwaipopo kaalika waandishi kabisa yaani Click to expand... Na hapo ndio utakua kuwa ni kutafuta trending ambayo imebuma maana wameingia kipindi kibaya Cha kesi ya Lissu inayofuatiliwa na kila mwenye akili.