Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,063
- 12,171
Kumbe siku hizi ukituhumiwa kwa jinai unaweza kufanya negotiation na waziri akalimaliza na sio kufikishwa kwenye vyombo vya sheria ndivyo vipime na kuamua juu ya tuhuma husika?
Nimejisahau sana kuwa updated na sheria zetu. Kumbe mahakama imepunguziwa mzigo na sasa waziri anaweza kutoa judgment.
Nimejisahau sana kuwa updated na sheria zetu. Kumbe mahakama imepunguziwa mzigo na sasa waziri anaweza kutoa judgment.