Waziri Katambi aagiza Dudubaya akamatwe kwa kukaidi Wito wa Serikali

Waziri angebaki na mambo ya kisera. Kama Kuna uchunguzi police ndo waite watu. Na kama case ipo hatua za awali sana sio lazima kuujulisha umma umeita watu
Ndivyo ilivyo...,waziri yake ni hayo ya kisera tu...,suala la kuchunguza matukio ya kihalifu ni ya polisi..,na kufikisha watuhumiwa mahakamni ni suala la mwendesha mshtaka wa serikali.
Tatizo letu wanazania ni kulewa madaraka na taasisi kutofanya kazi kwa mujibu wa sheria. Mathalan,kwa swala hilo polisi walitakiwa kukataa kumkamata mtu kwa maagizo ya waziri kwa sababu katika hatua ya kumkamata mtu lazima polisi wamjulishe kosa lake. Sasa katika mazingira hayo polisi watamueleza nini anayatakiwa kukamatwa kama kosa lake wakati hata wao hawajui?

Hata wakuu wa wilaya wanatumia vibaya ile sheria ya kumuweka mtu ndani masaa 48. Kimsingi mkuu wa wilaya hana mamlaka ya kuamuru mtu awekwe mahabusu.
kimsingi, ni polisi ndiyo wanaotka mtu fulani awekwe ndani kwa huo muda wakati wanaendelea na uchunguzi. Hatua zinawataka polisi kupeleka ombi na maelezo mahakamani kwa nini wanataka huyo mtu awekwe mahabusu masaa 48. Hakimu akiridhia maelezo ya polisi anapeleka ridhio lake kwa DC ambaye anatakiwa kuidhinisha ukamatwaji wa huyo mtu.
Kwa hiyo DC,hawezi kuidhinisha bila hakimu kuona msingi wa maelezo ya polisi. Na DC hana mamlaka kukurupuka tu kuwapa amri polisi wamakamate mtu fulani( pengine waligombea naye kimada )
 
Exactly. Huwezi kuwa na waziri anaita watu hovyo hovyo. Hiyo ni kazi ya police.
 
Ukosoma comments za manyumbu ndo utaelewa ni kwa kiasi gani manyumbu hamnazo....wanashanikia ujinga ujinga tu.

Hasemaje, huyo dudubaya akamatwe na kama vipi apelekwe kwa wahuni kama wahuni katika gerezani flani Ili ikiwezekana wampigilie mbali miti. Na hako kaafande sele kaonywe.......trend za manyumbu hazina mpango wowote, ameshakuwa mtu mzima aache usichana!!
 
We nesi waziri hana mamlaka ya kuita raia!
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ameliagiza Jeshi la Polisi kumtafuta na kumfikisha mbele ya vyombo vya sheria msanii Godfrey Tumaini maarufu Dudubaya, baada ya kushindwa kuitikia wito wa Wizara hiyo.

Akizungumza na wanahabari leo Ijumaa, Katambi amesema Dudubaya alikuwa ametakiwa kufika Wizara ya Mambo ya Ndani baada ya kutajwa katika tuhuma za makosa ya jinai, lakini licha ya kuitwa kwa mara ya pili, bado hakufika.

Soma Pia: Malu, pipytida, Dudu baya, Gigy money, Anko T, Noel na Mwijaku waitwa central station

Waziri amesema Dudubaya ameonekana kwenye mitandao ya kijamii akitoa kauli ambayo Waziri ameielezea kuwa ni kukaidi wito wa Serikali.
Dudu baya ni shujaa
 
Dudu baya walikuwa wanamtafutia sababu sasa naona amejaa kwenye 18

Hapa dudu baya lazima aende jera na huenda hii ndio ikawa clip yake ya mwisho mwaka huu 2027
 
Back
Top Bottom