Kah yaaani KATAMBI NILIKUWA NAKUTETEA NA KUKUONA UPSTAIRS UKO SAWA KUMBE MKUUU NI EMPTY HEADWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ameliagiza Jeshi la Polisi kumtafuta na kumfikisha mbele ya vyombo vya sheria msanii Godfrey Tumaini maarufu Dudubaya, baada ya kushindwa kuitikia wito wa Wizara hiyo.
Akizungumza na wanahabari leo Ijumaa, Katambi amesema Dudubaya alikuwa ametakiwa kufika Wizara ya Mambo ya Ndani baada ya kutajwa katika tuhuma za makosa ya jinai, lakini licha ya kuitwa kwa mara ya pili, bado hakufika.
Soma Pia: Malu, pipytida, Dudu baya, Gigy money, Anko T, Noel na Mwijaku waitwa central station
Waziri amesema Dudubaya ameonekana kwenye mitandao ya kijamii akitoa kauli ambayo Waziri ameielezea kuwa ni kukaidi wito wa Serikali.
Nikiripoti toka chuo cha sanaa Bagamoyo.
Polisi wakikuita lazima wakuambie wanakuitia nini, inabidi wakuambie jambo mahususi wanalokuitia. Pia unaweza kwenda au kutokwenda, kama una kesi inapaswa wakukamate kwa kufuata utaratibu wa PGO.polisi wanaweza kumuita mtu yoyote yule aidha kwa barua, simu au hata wakafika kwako nyumbani au eneo la kazi na kukutaka ufike kituoni kama wanakuhitaji, nafikiri hiyo ndiyo kazi ya polisi, wote tunapenda mabadiliko lkn tusishabikie utovu wa nidhamu kwa kuwa tu tumekwama, kama kapewa mwaliko rasmi na polisi afike kituoni siku xyz basi alipaswa kutii na kufika na kama hakuweza kufika alipaswa awajulishe halafu wao wangeamua nini cha kufanya kama kumpa tarehe nyingine au vinginevyo lkna kukaidi na kukaa kimya siyo, binafsi siipendi hii regime lkn kosa ni kosa ...
😁😁😁Mpaka sasa Team Mambaaaaazzzzzzz24 2 vs 0🌈🏳️🌈
Game on 🔥🔥
😁😁😁😂😂😂 hakika ni za kwetu.
You better watch your back!
Katambi acha kuendeshe serikali kwa MIHEMKO ,hauwezi kuwaita wasanii kwa jinai halafu kienyeji kienyeji ,ile hata mimi nisingekuja maana ningechukulia kama semina ,kama wana makosa ya jinai kwanini uwasamehe? Kama Dudubaya ana makosa mpelekeni mahakamani na ushahidi kisha mahakama ndiyo iseme ana hatia au lah.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ameliagiza Jeshi la Polisi kumtafuta na kumfikisha mbele ya vyombo vya sheria msanii Godfrey Tumaini maarufu Dudubaya, baada ya kushindwa kuitikia wito wa Wizara hiyo.
Akizungumza na wanahabari leo Ijumaa, Katambi amesema Dudubaya alikuwa ametakiwa kufika Wizara ya Mambo ya Ndani baada ya kutajwa katika tuhuma za makosa ya jinai, lakini licha ya kuitwa kwa mara ya pili, bado hakufika.
Soma Pia: Malu, pipytida, Dudu baya, Gigy money, Anko T, Noel na Mwijaku waitwa central station
Waziri amesema Dudubaya ameonekana kwenye mitandao ya kijamii akitoa kauli ambayo Waziri ameielezea kuwa ni kukaidi wito wa Serikali.
Kwa mujibu wa Katiba na sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri wa Mambo ya Ndani hana mamlaka ya kikatiba wala ya kisheria kuamuru polisi kumkamata mtu na kumweka rumande.Sasa akamatwe kwa kosa gani
Polisi wakikuita lazima wakuambie wanakuitia nini, inabidi wakuambie jambo mahususi wanalokuitia. Pia unaweza kwenda au kutokwenda, kama una kesi inapaswa wakukamate kwa kufuata utaratibu wa PGO.
Tusiwape polisi mamlaka wasiyokuwa nao, huo ndio mwanzo wa matumizi mabaya ya mamlaka. Nchi haipaswi kuendeshwa kama familia ya baba na watoto wadogo.
Waziri angebaki na mambo ya kisera. Kama Kuna uchunguzi police ndo waite watu. Na kama case ipo hatua za awali sana sio lazima kuujulisha umma umeita watuKwa mujibu wa Katiba na sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri wa Mambo ya Ndani hana mamlaka ya kikatiba wala ya kisheria kuamuru polisi kumkamata mtu na kumweka rumande.
Mamlaka ya kumkamata mtu yapo mikononi mwa askari polisi wenyewe pale wanapokuwa na sababu za msingi (reasonable grounds) au kwa kufuata amri au hati iliyotolewa na Mahakama (Arrest Warrant), na si kwa maelekezo ya mwanasiasa au Waziri.
- Nafasi ya Waziri: Waziri wa Mambo ya Ndani ni mtendaji wa kisiasa na mkuu wa kisiasa wa wizara hiyo, lakini sheria haijampa mamlaka ya kuingilia kati utendaji wa kiutendaji (operational duties) wa Jeshi la Polisi, ikiwemo kutoa amri za kukamata raia mmoja mmoja.
- Haki ya Uhuru: Ibara ya 15 ya Katiba ya Tanzania inalinda uhuru wa mtu binafsi na kupiga marufuku mtu yeyote kukamatwa, kufungiwa, au kuwekwa kizuizini nje ya utaratibu uliowekwa na sheria.
Kazi kweli kweli.Katambi acha kuendeshe serikali kwa MIHEMKO ,hauwezi kuwaita wasanii kwa jinai halafu kienyeji kienyeji ,ile hata mimi nisingekuja maana ningechukulia kama semina ,kama wana makosa ya jinai kwanini uwasamehe? Kama Dudubaya ana makosa mpelekeni mahakamani na ushahidi kisha mahakama ndiyo iseme ana hatia au lah.
Katambi UBWYB.
Dudubaya ameitwa na Katambi au Polisi?..hawalazimiki kukwambia wanachokuitia, lazima uelewe kazi ya polisi ni kulinda usalama wa raia, hivyo kama wewe ni raia mwema kwa hali ya kawaida hauna cha kuhofia kwani ndiyo sehemu inayaopaswa kuwa salama klk zote kwa raia in theory at least na unapaswa kutii, usipotii kuna sheria inayowalinda kwa kukukamata na kukufungulia mashitaka ya kukaidi wito.
again sijui undani wa hiyo kesi, ila naongelea kiujumla polisi anaweza kumuita mtu yoyote yule kutaka ufike kituoni hiyo ni kawaida kabisa na ni dunia nzima na hawalazimiki kukwambia sababu ya kukuitia kabla ya kuripoti kuna wengine wanaweza kukwambia upige simu mkayamaliza kwenye simu au wengine wakataka ufike kituoni au hata wakatia timu kwako au ofisini lkn kuitikia wito siyo hiari ...