Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Acha Wafu wazikane Mkuu...Huyu kitaumana na Makonda -Mzee wa nitoke vipi ,very soon.Huyu ni wazir wa mambo ya ndani au wa habari?
Huyu ni mdhiniti wa maudhui?
Anajua namna watu wanavyoporwa haki zao pale central huyu
Hivi ule wimbo wa kuwa taifa lipo salama kwa kazi muzuri ya polisi imekuwa tena marakuwa sii salama upo mpasuko?WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amekemea tabia ya kila mtu kuwa msemaji nchini hali inayopelekea utolewaji wa Matamko ambayo yamekua yakihatarisha hali ya Amani hapa nchini.
Ametoa kauli hiyo wakati wa Kikao na Uongozi wa Juu wa Jeshi la Polisi,Maafisa na Askari kilichofanyika jijini Dodoma.
“Kila Taasisi ina msemaji wake,hata katika familia kuna msemaji sasa inakuaje hapa nchini kila mtu akijisikia kusema anaongea tu," alisema Waziri Katambi.
Kinyesi tu, anajua kutamba tu, "mimi ni mwanasheria" domo limevimba kama ameumwa na nyuki. Ni wale wale ubabe wa kijinga tu, matumizi ya nguvu ni makubwa kuliko akili.Huyu ni wazir wa mambo ya ndani au wa habari?
Huyu ni mdhiniti wa maudhui?
Anajua namna watu wanavyoporwa haki zao pale central huyu
Waambieni wajinga wenzenu mliowatuma kwenda ubalozini Vatican