Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Tupo Tayari kumpa ushirikiano atakaouhitaji!kwa walichokifanya hao waarabu kwa kushirikiana na viongozi wa ccm waliopita hata hawakustahili kutoka wakiwa hai!!Hapa tuwe wazalendo, tu fight for our natural wealth, sio kusema tuone kama wazir ataweza kuwafukuza, tumuunge mkono ndio tutapata mafanikio,
Siyuo za mkulu tu! Ina Baraka Zangu pia! Wakafie mbali waarabu hawa masheitwanNaamini hii kauli ya Kigwangalla ina baraka zote za Mkulu, hivyo naamini hili swala litafuatiliwa kiundani kama swala makinikia.
Loliondo!! Nao pia! Waondoke!Vipi kuhusu kile kitalu cha Mfalme wa UAE?
The opposite is true[emoji87]Mhn! Ikija kwa wanasiasa “actions MUST SPEAK louder than words”
“Well done MUST BE better than Well said”
Hili limekaa vizuri. Mikataba ya kikoloni au kimangungu haina nafasi tena.
Lakini approach iwe tofauti. Wakae nao na kuwaeleza ukweli huo
Namuona lazaro nyalandu akihamia chadema kabla ya 2020!Waziri wa Maliasili asili na utalii Mh. Kigwangala akiwa katika ziara yake wilayani Ngorongoro pamoja na kuagiza kuvifuta vibali vyote vya uwindaji nchi nzima ikiwamo vya kampuni ya ORTELLO BUSINESS CORPORATION (OBC) ya Loliondo, ameagiza kampuni hiyo ya MWARABU kujiandaa kurudi walikotokea, kwasababu hata kama wakibaki mchakato mpya wa ugawaji vitalu vya uwindaji utakapoanza hautawahusu.
Ikumbukwe kampuni ilipewa eneo hilo miaka ya 1990 kwa mkataba wa miaka 99.View attachment 618635
Hili ndilo la msingi zaidi.Uzalendo unatakiwa kuzidi unazi.Ivi watz wote tukiziunga mkono jitihada za serkal, tutafanikiwa fasta, bt serkal inatupigania while kunawatu wengine kazi yao ni kupinga na kuupotosha ukweli.
sidhani kama mwarabu aliingia mkataba wa kilofa. Labda kwa vile ni waarabu na akili za .....You will pay dearlyHili limekaa vizuri. Mikataba ya kikoloni au kimangungu haina nafasi tena.
Lakini approach iwe tofauti. Wakae nao na kuwaeleza ukweli huo
tigwa ni nani jamaniNa ndiko ambako bwana 'Tigwa' alipanda ndege akakaa kwenye seat?
na watalipa mpakahawa watu wamepata vibari kutoka kwenye serikali kufukuza tu na wana hati miliki sio kitu kidogo , tunarudi kwenye azimio la Arusha inavyoonekana
uzalendo siyo kufanyaambo kijinga. Siwezi kuunga mkono. Hawa wako kihalali. Serikali iliwapa kihalali. Mtawalipa mahela ya miaka 99Hapa tuwe wazalendo, tu fight for our natural wealth, sio kusema tuone kama wazir ataweza kuwafukuza, tumuunge mkono ndio tutapata mafanikio,