Waziri Kigwangalla aagiza kampuni ya Uwindaji ya OBC ya Loliondo kurudi walikotokea kabla ya Januari 2018

Ndo kusema kaanza na mfupa uliokula vichwa vya watangulizi wake,
 
within the confines ofnthe law!
 
Kama ni kweli nitamuunga mkono Kigwangala, nilishangaa sana jamaa walisaini mkataba wa miaka 90 kama siyo ukuda ni kitu gani....

Viongozi wa ccm kweli walikuwa wakuda
 

Kwa hili na mpongeza Waziri
 
Issue ni kukaa naye. Aelezwe kuwa upo mkataba lakini siyo fair. Inawezekana. Tukienda kiubabe, we will pay dearly!
sawa kabisa. Unakaa na mtu kuwa jamani hapa ulinichota akili, basi turekebishe ili watu wangu wapate chumvi ya mboga. Mwungwana atasikia hoja yako ambayo ni quite genuine.
 
tuwe wakweli tumenyanga mashamba ya watu majumba mashuke msikiti mahospital makanisa , kikwapi bado maskini uwezi kuchukuwá vitu vya watu wamepewa na chama tawala , pay back nothing for free , hayo mambo yalipita na hawamu ya kwanza tukawa hata beer hatuna tunarudi tena huko
 
Ukiwa huna cha maana cha kuchangia wakati mwingine mtu ukae kimya tu usome maoni ya wenzako ya kizalendo. Umenitia hasira bure. Eti kushitakiwa..... nilitaka nikut....sheria imenibana.
 
Ninavo fahamu hawa jamaa akishuka tu KIA wanalipa landing charges na pia wanalipa landing charges za loliondo strip.
Na wakifika hulipa Tanapa sio chini ya $100,000 kila trip
Loliondo yenyewe wanalipa land taxes.
Wamewekeza visima vya maji kila kilomita moja ukitoka ndani eneo
Tuache uchoyo....hao watu wa vijiji hawakuwepo mpaka walipo shawishiwa na wana siasa ambao wanalitaka wao hilo eneo kwa faida binafsi zaidi
 
Hawa Waarab wa Ortello watamkimbilia fasta Mzee Kinana, sbb mzee Kinana ndio rafiki yao mkubwaaaa.. So i believe, wananchi sasa wamepata Mkombozi Mh Rais wetu JPM, na hawa waarabu wa OBC wataondoka haraka sana, wamechuma vya kutosha.. Najua kwa hili Mzee Kinana atawaambia wazi TIME HAS CHANGED kuwa waondoke tu, mm ni CCM 100% ila inabidi tukosoane na kunyoosheana vidole na kurekebishana ili nchi yetu iende mbele, OBC waondoke haraka plz... Hongera Mh. Kigwangala sana sana...
 
Kabla huja post jitaidi ku edit Post yako.
 
Watu wanazunguka tu ila kuna jambo halisemwi. Hii issue inahitaji akili na sio siasa.
 
kibaraka mpumbavu
 
Kesi nyengine mahakamani,kakodishwa miaka 99 lakini hafla tu anafukuzwa wakati ameshawekeza...,Serikali ingemsikiliza Lisu ingekuwa rahisi sana kwa serikali kuwaondoa hawa watu,,sasa tusubiri mahakama za kimataifa kuingilia kati...
 

Wewe mleta mada ni mbaguzi sasa kuweka mwarabu kwa herufi kubwa ili iweje,kwanini usisema mwekezaji tu tungelifahamu...
 
Huyo mwarabu ndo tunaambiwa huku JF kuwa hilo eneo lake ana mtandao binafsi wa simu?
Na hii ishu ndo iliondoa uhai wa Stan Katabaro?
pasco
Stan Katabaro my best Tanzanian investigative journalist...!!
Nilikuwa sikosi gazeti la Mfanyakazi kufuatilia Loliondo gate...!!
Siku moja na nafikiri inakaribia ambapo mchango wake wa kufichua mikataba ya kifisadi utakumbukwa na kuenziwa.
 
kibaraka mpumbavu
Na hawata ondoka kwa chuki binafsi za udini.
Hata huyo kingwangada atapigwa stop hajui taifa linanufaika vipi na taxes za hawa jamaa.
Hao makelele yenu ya kichaga Rais hawezi kuyasikiliza.
Anafahamu kuwa mnataka poachers wavamie hilo eneo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…