chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,380
- 5,884
Kweli mkuu lakini mafisadi si ndio wale wale au CCM imebadilika..Mkataba wa kifisadi waliofaidika ni mafisadi. Eneo la ardhi ya Tanzania litageuzwaje na kufanywa ni sehemu ya UAE!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu lakini mafisadi si ndio wale wale au CCM imebadilika..Mkataba wa kifisadi waliofaidika ni mafisadi. Eneo la ardhi ya Tanzania litageuzwaje na kufanywa ni sehemu ya UAE!?
Wewe ulishapata adhabu gani? The lead tafadhali.Mkuu huyu Mwarabu akiondolewa kweli nitafurahi. Amenyanyasa sana wazawa, ole wako upotee njia upitie karibu na kambi yao, adhabu utakayopata utajuta kuzaliwa Tz. Huyu yuko karibu kabisa na Geti la serengeti ..Cleins gate kutokea Loliondo. Kwa kifupi yuko serengeti national park kwa mpaka wa Loliondo/Wasso.
kumfungia Dk MwakaHivi Kigwangala ashafanikisha nini katika matamko yake yote akiwa Naibu Waziri?
Wameadhibu sana madereva wa tours mkuu, mti anapewa adhabu ya kuzunguka na gari hadi diesel ikaribie kukauka kwenye gari!!!Wewe ulishapata adhabu gani? The lead tafadhali.
Mkuu hii ni nchi huru na mamlaka kamili. Hicho unachosema sio sahihi. Huwezi ukaruka na ndege bila ukaguzi kwenda nje ya nchi. Lazima upitie katika viwanja vya kimataifa km kia. Kwasababu ndege huwa lazima zipate clearance hata ya kupita tu katika anga ya nchi husika sembuse kutua na kuruka.Mwinyi aliuza kipande cha ardhi kwa mwarabu enzi zake tena kwa mkataba mreefu. Ortelo ni hatari sana, walijenga uwanja wao wa ndege, ndege kubwa zinatua na kupaa na mzigo bila ukaguzi, kila aina ya mnyama [isipokuwa faru] alihamishwa mzima mzima akiwa bado mchanga. Zoo zao zimejitosheleza kwa wanyama pori aina karibu zote zinazopatikana Serengeti.
Uzunguke kwenda wapi?Wameadhibu sana madereva wa tours mkuu, mti anapewa adhabu ya kuzunguka na gari hadi diesel ikaribie kukauka kwenye gari!!!
We ni wajuzi eeh!tigwa ni nani jamani
Kweli mkuu lakini mafisadi si ndio wale wale au CCM imebadilika..
Yule msingida bahasha zilikuwa nyingi mpaka zingine mahausi boy wanakimbia nazo. Nasikia alikuwa na mtu wa m pesa anamsaidia tu kutuma m pesa kwa mamiss !Sijaelewa kuhus ugawaji wa vitalu, wanataka vigawiwe kwa wazawa tu au ?
au ndio anawabeep ili wamletee bahasha yake ?
Alimshughulikia tapeli Mwaka mpaka kahama nchi !Hivi Kigwangala ashafanikisha nini katika matamko yake yote akiwa Naibu Waziri?