Waziri Kigwangalla awacharukia wanaomsema hajui Kiingereza

Hii story ni ya kutunga.

1. Alifungua mlango kwa " master key"...maana yake lazima kilikuwa ni kitasa.

2. Akaondoka akaweka "lock"...sijui ulikuwa mlango wa gari?

3. Akanirudishia funguo zangu.

Izo funguo zako alikunyanganya lini?
 
We don’t have the tallest mountain in Africa ni we do have the highest mountain in Africa

Kwani hakuna milima mingine ndani ya Africa ya kulinganishia?

Kwa Taarifa yako, Kilimanjaro is a TALLEzsT STAND ALONE MOUNTAIN IN AFRICA. Yaani ukiacha kupimia kutoka kwenye sea level, ukianzia kupimia chini mlima unapoanza hadi kileleni, Kilimjanro ni Tallest mountain.

Milima mingi ipo kwenye range of mountains, lakini kilimanjaro Unasimama alone
 
Si Bora kiingereza cha Nyani, Cha Kiranga sasa ndio utajua kuwa hii lugha huku tunajifanya tunaijua ila hatuijui kabisa.
 
Tutakutafutia mwalimu wa geography aje akufundishe hapo nyumbani mbele ya watoto.

Haujui what you are talking about.

Tunaargue Geography au tunaargue kiingereza cha waziri?

Hata kwenye Geography bado yuko sahihi!
Mlima kilimanjaro is the highest mountain in Africa (From the sea level) na ni Tallestt mountain from the basement if you measure it from the bottom to the top without considering the sea level
 
Si Bora kiingereza cha Nyani, Cha Kiranga sasa ndio utajua kuwa hii lugha huku tunajifanya tunaijua ila hatuijui kabisa.
Umeenda mbali vip kile cha mzee wa mbochi?

Aliwapiga ban BBC yani wasisogee karibu yake.

Kule kwenye jumuia ya Africa wenzake wanapanga kufanya video conference, yeye anataka wachati.
 
Haya maneno usiongee mbele ya watoto wako maana watakucheka 🤣🤣🤣
 
... nikawauliza mabosi wetu kulikoni, mbona mimi napata kazi nyingi kuliko yule jamaa...
Yeah kuna mdada mmoja alikuwa rafiki yangu naye alikuwa mmoja wa mabosi wetu ndo nikamuuliza huyo siku moja.
Kama umeelewa nilienda ofisini au ule muda wa vikao kuuliza basi umepotea.
 
Kuna watu wameamua kuwa Wapinzani kwenye kila aspect sadly hawa watu wako desperate sana na ni vijana Wanajizeesha sasa ubishi wa nini hapo, The minister was right
 
Haya maneno usiongee mbele ya watoto wako maana watakucheka 🤣🤣🤣

Upeo wako ni mdogo, akili yako inakwambia milima hupimwa kutoka kwenye sea level peke yake wakati siyo kweli.

Ndiyo maana umeambiwa Evarest ni highest mountain from the sea level lakini siyo tallest mountain duniani ukipimwa kuanzia chini kabisa (basement of the mountain)
 
Ongea taratibu watoto wako wasikusikie wataenda kukuchekea chooni 🤣
 
Waziri wa maliasili wa twitter

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…