Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anapenda kula sana, huo mdomo unang'aa mafuta ya vitumbua na ubwabwa kila siku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anapenda kula sana, huo mdomo unang'aa mafuta ya vitumbua na ubwabwa kila siku
Nafikiri huko mtaani au kazini wala hatumii maneno hayo, hicho ni cha kuumiza watu wa JF.Kiranga unatufanya watu tujione hatujui chochote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Kiingereza Chako kinaumiza kichwa
Hapa hadi nitafute dictionary lol[emoji1787]
Nimefurahisha genge tu walionibandika kilemba cha ukoka na kunipaka mafuta kwa mgongo wa chupa wafurahi.kiranga!? dah.
kama usomi ndiyo kiingereza hicho nakiri na mimi mburula "blaza"
Ila anakijua vizuri.Nafikiri huko mtaani au kazini wala hatumii maneno hayo, hicho ni cha kuumiza watu wa JF.
Sent from my LM-Q710(FGN) using JamiiForums mobile app
"Kimbu state of nyungu ya mawe" nadhani ni jamii ya wanyamwezi.Wakimbu ni wenyeji wa Sudan kusini!
😀😀Huyu kidogo afukuzwe chuo kwa kupika wali bwenini
Kiingereza cha @nyaningabu sio cha dunia hiiNaunga mkono hoja,kutojua lugha fulani hakuondoi usomi wa mtu,,ila kwa nchi yetu ukijua kiingereza tu basi utatazamwa kwa jicho tofauti
Humu ndani kuna "nyani" bingwa wa kiingereza hatari,ukibahatika kujua kiingereza kama cha yule kwa nchi yetu wewe ni msomi hata kama ni la saba
Huyu daktari wa mifugo aache ujingaKigwangalla awacharua wanaomsema hajui kingereza asema sio sifa kuijua
Waziri wa Maliasilia na Utalii, Dk. Hamis Kigwangalla amesema kuna watu huwa wanajaribu kumkosoa lugha yake ya kingereza.
“Huwa nina washangaa sana maana kwanza siyo sifa kujua lugha hiyo mimi naitumia kama njia ya kuwasiliana tu,” aliandika Kigwangalla katika ukurasa wake wa Twitter.
Aliongezea kuwa “Ningekuwa sijui kiswahili ama kikimbu na mtu akanicheka angekuwa na mantiki.
View attachment 1471687
Waziri anaihifadhi lugha ya Kiingereza kuwasiliana na watalii na katika masuala ya kikazi tu. Hapendi ujinga.
I was kidding
Ni watu wa wapi hawa wakimbu?Hivi kumbe kabila lake ni Mkimbu?
Lakini pia hapa kuna jambo alijakaa sawa.
Iweje mtu kwa kipindi cha takriban miaka ishirini anajifunza masomo yake kwa kutumia lugha hiyo hiyo na asiweze kuimudu.
Elimu ya Kenya haipishani sana na yetu ilikuwaje mkenya alikuwa anakukimbiza kwa kingereza.
Aidha watanzania wakipelekwa Urusi China Cuba inawachukua miaka miwili kujifunza lugha za huko na baadae wanahitimu shahada zao wakiwa wanaongea hizo lugha kwa ufasaha.
Tunajitetea sijui wachina warusi nk hawaongei kingereza,tunashindwa kutatua tatizo hili la muda mrefu ambalo majirani zetu hawana.
Aaah uwezi kuelewa na kukubali ukweli lakini..Hivi kujua hiyo Lugha ambayo umefundishwa pia nakufindishiwa ni kosa kama kutoijua?Sio mzigo labda nikwambie tu unalipwa kutokana na idadi ya kazi ulizofanya(projects)!
nani amekuruhusu kunisahihisha pia siyo uzalendoKiingeleza=kiingereza, Uzarendo=Uzalendo
Sio kwamba sikuijua tatizo ni kusound natural kaka! Kama ulikuwa unajua kiingereza chetu cha kibongo then ghafla bin vuu hapahapa nchini ukapata dili ila mabosi wako wakawa Wamarekani ndo utanielewa vizuri. Boss anaongea 5 words per second halafu hatumii misamiati ya chekechea! Anatumia high level vocabulary za kiofisi ofisi zile.Uzuri written English nilikuwa vizuri,nilifuzu mtihani wao.Tatizo spoken sasa hehe! Ila nashukuru nilivyotoka pale nikarudi home hata wewe ningekwambia Mimi ni American kwa haraka haraka ungekubali,kama usingechunguza sana.Aaah uwezi kuelewa na kukubali ukweli lakini..Hivi kujua hiyo Lugha ambayo umefundishwa pia nakufindishiwa ni kosa kama kutoijua?
Mbumbumbu wa nzega said bagaileKigwangalla awacharua wanaomsema hajui kingereza asema sio sifa kuijua
Waziri wa Maliasilia na Utalii, Dk. Hamis Kigwangalla amesema kuna watu huwa wanajaribu kumkosoa lugha yake ya kingereza.
“Huwa nina washangaa sana maana kwanza siyo sifa kujua lugha hiyo mimi naitumia kama njia ya kuwasiliana tu,” aliandika Kigwangalla katika ukurasa wake wa Twitter.
Aliongezea kuwa “Ningekuwa sijui kiswahili ama kikimbu na mtu akanicheka angekuwa na mantiki.
View attachment 1471687
Waziri anaihifadhi lugha ya Kiingereza kuwasiliana na watalii na katika masuala ya kikazi tu. Hapendi ujinga.