Waziri Kombo aeleza yaliojiri CHOGM, Katibu Mteule wa Jumuiya ya Madola atuma salamu kwa Rais Samia

Waziri Kombo aeleza yaliojiri CHOGM, Katibu Mteule wa Jumuiya ya Madola atuma salamu kwa Rais Samia

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Waziri Kombo aeleza yaliojiri CHOGM, Katibu Mteule wa Jumuiya ya Madola atuma salamu kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
 

Attachments

  • 1729967709338.mp4
    62.9 MB
Hahaha ana mueleza nani, si asubiri akirudi akawaambie wenzake kamati kuu ya ccm.
 
Basi afabye ziara hata mikoa ya mipakani watu wamjue, Wazara iandae Mambo ya Nje day ili kujifanya tathmini na wadau
 
Nchi imewekwa mikononi kwa Lucas ndio anafanya kila kitu anzia press au propaganda....machinery ime stuck au paralyze ? Basi sawa tutaona mengi kuelekea 2025.......mara pesa hakuna wanaziiiita kwa mazingaombe ya kubadilu pesa zoote.....basi sawa...
 
Kwanini balozi namba moja hajahudhuria kikao cha wakuu wa nchi na wakuu wa serikali huko Samoa?
 
Back
Top Bottom