Ojuolegbha JF-Expert Member Joined Sep 6, 2020 Posts 1,278 Reaction score 797 Oct 27, 2024 #1 Waziri Kombo aeleza yaliojiri CHOGM, Katibu Mteule wa Jumuiya ya Madola atuma salamu kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Attachments 1729967709338.mp4 62.9 MB
Waziri Kombo aeleza yaliojiri CHOGM, Katibu Mteule wa Jumuiya ya Madola atuma salamu kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
N Nanye Go JF-Expert Member Joined Oct 29, 2018 Posts 10,856 Reaction score 14,607 Oct 27, 2024 #2 Hahaha ana mueleza nani, si asubiri akirudi akawaambie wenzake kamati kuu ya ccm.
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Oct 27, 2024 #3 Basi afabye ziara hata mikoa ya mipakani watu wamjue, Wazara iandae Mambo ya Nje day ili kujifanya tathmini na wadau
Basi afabye ziara hata mikoa ya mipakani watu wamjue, Wazara iandae Mambo ya Nje day ili kujifanya tathmini na wadau
S Sappire JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 3,447 Reaction score 8,896 Oct 27, 2024 #4 Nchi imevurugwa sana.imepoteza mwelekeo kabisa
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 18,813 Reaction score 21,830 Oct 27, 2024 #5 Nchi imewekwa mikononi kwa Lucas ndio anafanya kila kitu anzia press au propaganda....machinery ime stuck au paralyze ? Basi sawa tutaona mengi kuelekea 2025.......mara pesa hakuna wanaziiiita kwa mazingaombe ya kubadilu pesa zoote.....basi sawa...
Nchi imewekwa mikononi kwa Lucas ndio anafanya kila kitu anzia press au propaganda....machinery ime stuck au paralyze ? Basi sawa tutaona mengi kuelekea 2025.......mara pesa hakuna wanaziiiita kwa mazingaombe ya kubadilu pesa zoote.....basi sawa...
B bagamoyo JF-Expert Member Joined Jan 14, 2010 Posts 24,941 Reaction score 28,869 Oct 27, 2024 #6 Kwanini balozi namba moja hajahudhuria kikao cha wakuu wa nchi na wakuu wa serikali huko Samoa?