Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
Rais wa Jamhuri ya Burundi Mheshimiwa Évariste Ndayishimiye amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) Mkoani Kilimanjaro, kushiriki katika Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaofanyika leo tarehe 7 Machi, 2026 katika Makao Makuu ya Jumuiya jijini Arusha.
Akiwasili Mkoani humo amepokelewa na Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akiambatana Viongozi Waandamizi mbalimbali wa Serikali.
Akiwasili Mkoani humo amepokelewa na Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akiambatana Viongozi Waandamizi mbalimbali wa Serikali.
Attachments
-
IMG-20260307-WA0023.jpg334.7 KB · Views: 28 -
IMG-20260307-WA0039.jpg350.7 KB · Views: 22 -
IMG-20260307-WA0035.jpg414.4 KB · Views: 21 -
IMG-20260307-WA0037.jpg521.8 KB · Views: 27 -
IMG-20260307-WA0033.jpg567.1 KB · Views: 26 -
IMG-20260307-WA0027.jpg584.8 KB · Views: 26 -
IMG-20260307-WA0026.jpg485.9 KB · Views: 21 -
IMG-20260307-WA0029.jpg530.8 KB · Views: 20 -
IMG-20260307-WA0031.jpg528.6 KB · Views: 26 -
IMG-20260307-WA0020.jpg482.4 KB · Views: 22 -
IMG-20260307-WA0022.jpg541.3 KB · Views: 22 -
IMG-20260307-WA0017.jpg477 KB · Views: 29 -
IMG-20260307-WA0015.jpg596.9 KB · Views: 26