Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
😅😅😅Tunaruhusiwa kucomment?Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum Jamhuri ya Angola
Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki amewasili jijini Luanda nchini Angola kuwasilisha Ujumbe maalum wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Mhe. João Manuel Gonçalves Lourenço, Rais wa Jamhuri ya Angola
....akitokea "aden" ya duniani. ,mh.waziri wetu yuko kazini kutuwakilisha!Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum Jamhuri ya Angola
Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki amewasili jijini Luanda nchini Angola kuwasilisha Ujumbe maalum wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Mhe. João Manuel Gonçalves Lourenço, Rais wa Jamhuri ya Angola
Hiyo reform ndio mkazuiliwa 😄No reform no election
Hiyo reform ndio mkazuiliwa hahaNo reform no election
KabisaVETA muhimuuu sanaaa, kwa maisha ya sasa
Muhimu kufuata utaratibu tuishi humoHivi ndivyo mambo yanavyopaswa kwenda,kiutaratibu,kiungwana na kistaarabu.sio kuleta harakati kwenye nchi za watu!
Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum Jamhuri ya Angola
Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki amewasili jijini Luanda nchini Angola kuwasilisha Ujumbe maalum wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Mhe. João Manuel Gonçalves Lourenço, Rais wa Jamhuri ya Angola
....akitokea "aden" ya duniani. ,mh.waziri wetu yuko kazini kutuwakilisha!
Kila la heri kwake ,aaamin!
#JMT ya serikali mbili daima dumu !
Hakuzuiwa airport?Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki amewasili jijini Luanda nchini Angola kuwasilisha Ujumbe maalum wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan,
SahihiMuhimu kufuata utaratibu tuishi humo
Uwe na afya njema na mafanikio tele ewe mtanzania mwenzangu ,aamin!Muhimu tue na skills
Huyo ni mzalendo wa umajumui wa kiafrika na SOVEREIGNTY....wanaozuiwa ni marafiki wa vibaraka wa UNITA....Hakuzuiwa airport?
UNITA imepigwa marufuku Angola?Huyo ni mzalendo wa umajumui wa kiafrika na SOVEREIGNTY....wanaozuiwa ni marafiki wa vibaraka wa UNITA....