Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum Jamhuri ya Angola

Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum Jamhuri ya Angola

Mmejua sababu ya wale kuzuiliwa sasa? Au bado vichwa ngumu
Kwahiyo akija kiongozi wa Tanzania basi nchi nzima haipaswi kuingia mtanzania mwingine? Moreover mpaka rais wa zamani wa Botswana kakataliwa??

Acheni kutetea ujinga wa madikteta wa Afrika
 
Kwahiyo akija kiongozi wa Tanzania basi nchi nzima haipaswi kuingia mtanzania mwingine? Moreover mpaka rais wa zamani wa Botswana kakataliwa??

Acheni kutetea ujinga wa madikteta wa Afrika

We bado kichwa ngumu,soma tena
 
Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum Jamhuri ya Angola

Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki amewasili jijini Luanda nchini Angola kuwasilisha Ujumbe maalum wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Mhe. João Manuel Gonçalves Lourenço, Rais wa Jamhuri ya Angola
well done ndugu waziria ambosodor M.T.Kombo,:KasugaYeah:
Thank you President Manuel Gonçalves Lourenço for Angolan hospitality :ClapHD:
 
We bado kichwa ngumu,soma tena
Nisome nini? Yaani diplomatic message ndio isababishe watu kutoka mataifa zaidi ya 20 kuzuiwa? Yaani ujumbe wa Tanzania alafu Ian Khama rais mstaafu wa Botswana azuiliwe? Au Rais wa chama cha DA cha Sauzi ambaye pia ni waziri wa kilimo anazuiliwaje?

Hauna akili kabisa, endelea kutetea ujinga.
 
Back
Top Bottom