Veteran Sailor
JF-Expert Member
- May 28, 2025
- 2,042
- 4,416
Kwahiyo waliouwawa walikuwa magaidi??Gentleman,
nasapoti by 100% magaidi wote nonsense kote ulimwenguni wawe eliminated 100%, bila huruma wala kuwaonea haya π
naona unaweweseka gentleman huelewi wala kujua unataka nini, right?Kwahiyo waliouwawa walikuwa magaidi??
Shukuru Mungu hakuna aliyedhurika katika familia yako. Usingekuja kusupport huu upuuzi
Gentleman, nadhani hujanielewa lengo langu.naona unaweweseka gentleman huelewi wala kujua unataka nini, right?
ghasia na maafa yaliyopangwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na kutekeleza na AZAKI wamemuathiri kila mTanzania,
Kwahiyo huna haja ya kua na hisia potofu nonsense namna hiyo kuhusu jambo hilo π
sina haja hata kidogo kujua au kuelewa lengo lako gentleman,Gentleman, nadhani hujanielewa lengo langu.
Mimi sisifii wala sipongezi kwa watu kufanya maandamano, jambo langu ninalopishana na ww ni kusema kuuliwa ilikuwa haki yao.
Hapo tu..
Najua umekula kiapo cha kumtetea na kumlinda lakini kiapo kisikufanye upoteze utu wako gentleman.sina haja hata kidogo kujua au kuelewa lengo lako gentleman,
in fact,
nachojua mimi ni kwamba,
hata kwenye bibilia imeandikwa "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" sasa kama hata kwenye bibilia iko hivyo, unafiki wa kindezi wa nini kwa gaidi lofa aliebebwa ufala wa kifikra na wenzake akaangamizwa kwenye upimbi alokua anafanya?
ni muhimu sana kuacha unafiki,
yaani gaidi anamkata vidole mpiga kura halafu aachwe au achekewe tu right?π
gentleman,Najua umekula kiapo cha kumtetea na kumlinda lakini kiapo kisikufanye upoteze utu wako gentleman.
Kuna waliokufa wakiwa majumbani kwao nao ni magaidi??
Napotosha kwamba watu hawajafa? Wengine hawakufa majumbani kwao?? Na watoto hawajafa??gentleman,
kiapo changu ni kusema ukweli mtupu, kwenye mambo ya msingi tu,
sibabaiki wala sihangaiki kumtetea yeyote popote bali kusimamia ukweli bila chembe ya haya, uoga au unafiki.
acha kuendekeza upotoshaji, , unafiki, porojo na kung'ang'ania stori ghushi za kizushi, itakusaidia sana gentleman π
Ah..π kumbe wauaji ni police..πππΏ basi sawa.. Maana tuliambiwa ni waandamanaji.. But VP wale waliouliwa majumbani?
Wamajumbani walikuwa wanawarushia Polisi vijiko na masufuria...Ah..π kumbe wauaji ni police..πππΏ basi sawa.. Maana tuliambiwa ni waandamanaji.. But VP wale waliouliwa majumbani?
Wakuu Jana bungeni Waziri wa diplomasia na mambo ya nje Kombo raia wa Zanzibar anayefanya kazi Tanganyika amesema katiba yetu inataka polisi akirushiwa jiwe ampige risasi haraka raia anayerusha na kilochotokea Oct 29 ni cha kikatiba Yale mauaji yalfanyika kwa sababu polisi walirushiwa mawe.
Huyu bwana alionekana akishangilia na kupiga makofi Samia alipokuwa anamwambia ruto washirikiane kucharaza viboko gen Z