Waziri Kombo: Vurugu za Oktoba 2025 zimebadili taswira ya Tanzania duniani

Bawabu wa pili

Senior Member
Joined
Nov 14, 2025
Posts
147
Reaction score
433
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema mwaka 2025, Tanzania ilikabiliwa na vurugu wakati wa uchaguzi ambazo hazijawahi kutokea tangu nchi ilipopata uhuru mwaka 1961.

Soma pia: Waziri Kombo: Tumestahimili mtihani mzito wa Oktoba 29, Dunia ikatuelewa

1768482622503.png

Amesema vurugu hizo zimekuwa na athari kubwa kwa Tanzania katika msimamo wake na taswira yake duniani.

“Hapa nyumbani tulishuhudia ghasia na mashambulizi na mali za umma na binafsi zote zikiharibiwa ikiwemo watu kupoteza maisha. Huko nje tulishuhudia kuzuiwa kwa fedha na kukosekana uhakika wa kiuchumi,
“Sera yetu ya mambo ya nje ilipitia majaribu kwa mara ya kwanza katika historia tangu Uhuru, miaka 64 iliyopita,” amesema Balozi Kombo.

Amesema baada ya kuteuliwa, alipokea jumbe nyingi za kufariji kutoka kwa marafiki na washirika, baadhi walionyesha kuguswa na kilichotokea wakati wengine wakiuliza...nini kimetokea Tanzania?.
 
Utawala katili wa Samia umedumaza taswira ya Tanzania Duniani. Tangu Tanganyika ilipoanza kujitawala hajawepo mtawala aliyepwaya kama Samia.
 
Natamani kujua aliwajibu nini alipoulizwa "nini kimetokea Tz"? Ukute aliwajibu kwamba raia wenye silaha wanauwa askari wasio na silaha wakiwa wamepumzika vituo vya kazi.
 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema mwaka 2025, Tanzania ilikabiliwa na vurugu wakati wa uchaguzi ambazo hazijawahi kutokea tangu nchi ilipopata uhuru mwaka 1961.

Soma pia: Waziri Kombo: Tumestahimili mtihani mzito wa Oktoba 29, Dunia ikatuelewa

View attachment 3530050

Amesema vurugu hizo zimekuwa na athari kubwa kwa Tanzania katika msimamo wake na taswira yake duniani.

“Hapa nyumbani tulishuhudia ghasia na mashambulizi na mali za umma na binafsi zote zikiharibiwa ikiwemo watu kupoteza maisha. Huko nje tulishuhudia kuzuiwa kwa fedha na kukosekana uhakika wa kiuchumi,
“Sera yetu ya mambo ya nje ilipitia majaribu kwa mara ya kwanza katika historia tangu Uhuru, miaka 64 iliyopita,” amesema Balozi Kombo.

Amesema baada ya kuteuliwa, alipokea jumbe nyingi za kufariji kutoka kwa marafiki na washirika, baadhi walionyesha kuguswa na kilichotokea wakati wengine wakiuliza...nini kimetokea Tanzania?.
Siyo vurugu za mo29. Ni uongozi mbovu wa samia ndo umeharibu kila kitu
 
Angalia hili JINGA linajiita PhD
Mwaka 1961 hakukuwepo Tanzania, ungesema tangu 1964, mlipokuja nyie
 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema mwaka 2025, Tanzania ilikabiliwa na vurugu wakati wa uchaguzi ambazo hazijawahi kutokea tangu nchi ilipopata uhuru mwaka 1961.

Soma pia: Waziri Kombo: Tumestahimili mtihani mzito wa Oktoba 29, Dunia ikatuelewa

View attachment 3530050

Amesema vurugu hizo zimekuwa na athari kubwa kwa Tanzania katika msimamo wake na taswira yake duniani.

“Hapa nyumbani tulishuhudia ghasia na mashambulizi na mali za umma na binafsi zote zikiharibiwa ikiwemo watu kupoteza maisha. Huko nje tulishuhudia kuzuiwa kwa fedha na kukosekana uhakika wa kiuchumi,
“Sera yetu ya mambo ya nje ilipitia majaribu kwa mara ya kwanza katika historia tangu Uhuru, miaka 64 iliyopita,” amesema Balozi Kombo.

Amesema baada ya kuteuliwa, alipokea jumbe nyingi za kufariji kutoka kwa marafiki na washirika, baadhi walionyesha kuguswa na kilichotokea wakati wengine wakiuliza...nini kimetokea Tanzania?.
Screenshot_20251122-090658~2.png
 
Back
Top Bottom