Melubo Letema JF-Expert Member Joined Apr 1, 2020 Posts 416 Reaction score 414 May 26, 2022 #1 Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa Kesho anatarajia kukutana na kuzungumza na Viongozi wa Vyama na Mashirikisho ya Michezo Tanzania Bara, Mkutano huu utafanyika uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa Kesho anatarajia kukutana na kuzungumza na Viongozi wa Vyama na Mashirikisho ya Michezo Tanzania Bara, Mkutano huu utafanyika uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.