Waziri Lugola: Wizara haihusiki na kupotea kwa Mwandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communication Limited, Azory Gwanda

Lini wizara ilishawah wajibika kwa kupotea kwa watu.Ukifuatilia ITV kuna kipind huwa wanawatangaza,huyo arzor ni nani hadi kutaka wizara iwajibike?
 
Basi yeye ndo anahusika
 
Ebu tupe majibu yako juu ya hili, endapo wewe ungepewa nafasi hiyo ya kuteuliwa kuwa uwaziri wa mambo ya ndani.

Japo sijaulizwa mimi, ila naomba nijibu: Mosi ya yote ningewaheshimu na kuwathamini binadamu wenzangu!

Uongozi haukubadilishi, unadhihirisha tu wewe ni mtu wa namna gani; uwezo wako wa kufikiri, kutenda au kutotenda.

Hebu fikiria familia ya Bwana Gwanda wakisikia majibu kama hayo...hebu waza zaidi kama mwanao au mwenzi wako amepotea halafu unapewa jibu kama hilo...Dah!
 
Kangi Lugora yuko sahihi na jinsi swali liliulizwa na huyo Mwandisha wa habari.....Maana mwandishi aliyepotea wala hakukuwa na purukushani wakati anachukuliwa katika ya mji tena mchana kweupe na akaenda kuchukua fungua wa nyumba yake shambani alikokuwa mkewe sasa hapo unataka Waziri aongee nini.
 

Anajua kilichotokea huyo. Anatoa majibu ya kihuni tu. lkn Mungu anamuona na yeye yamkute aone joto ya jiwe.
 
Majibu ya kipumbavu, which shows kwamba Wizara na serikali wanahusika...na waandishi nao wanakenua tu meno wakaendelea kumsikiliza huyu mpuuzi badala ya kumziria kikao chake!
 
Yeye kayajuaje haya?week hata hajamaliza ashaanza blah blah.
Nchi hii tuna tabu sana,kuna wakati nakaa natamani kama viongozi wasiwepo tujiongoze wenyewe tu maana la maana wanalolifanya silioni!

Hata mimi ndugu yangu huwa natamni sana mfumo wa sheria Tz uondoke kabisa. yaani nchi iwe kama vile utaratibu wa baharini au msituni mwenye nguvu ndo achukue himaya. Aibu ktk nchi inayosema inafuata sheria tunakuwa na waziri anayetioa ushuzi kama huo. To helllll.
 
Bora Mwigulu alikuwa anakaa kimya ila Huyu aliyeingia ni mpiga zumari tu...na utindio wa ubongo juu
 
Lini wizara ilishawah wajibika kwa kupotea kwa watu.Ukifuatilia ITV kuna kipind huwa wanawatangaza,huyo arzor ni nani hadi kutaka wizara iwajibike?
Kwanza jifunze kuandika majina ya watu.

Pili, serikali inawajibu ya kuwalinda na kuwahakikishia usalama raia wake wote walio ndani na nje ya mipaka ya nchi. Inawajibu kwa raia wake wote, wanaotangazwa na wasiotangazwa. Kama haitekelezi jukumu hili, wananchi wanakila sababu ya kuishitaki serikali yao.
 
Du ! Hii Kali, Majibu Rahisi Kwa Maswali Magumu. Maisha Gani Magumu Aliyokuwa Nayo Mwandishi Mpaka Atoweke Kimya Kwenda Kutafuta Maisha Kwingine ?
 
Du ! Hii Kali, Majibu Rahisi Kwa Maswali Magumu. Maisha Gani Magumu Aliyokuwa Nayo Mwandishi Mpaka Atoweke Kimya Kwenda Kutafuta Maisha Kwingine ?
 
haya ni maneno yaliyotoka kwenye kinywa cha mtu mwenye kiburi cha hali ya juu mnoo. na anayatamka hayo kwasababu yupo tanganyika?
kama kweli tanzania kuna uhuru wa kwenda popote bila kuvunja sheria mbona watu wakitaka kuandamana mnakataza? kwani kuandamana sio kwenda popote?
unataka kusema familia inaweza kutojua baba kaenda wapi?
huyu alikuwa polisi kazi pelee ambayo mtu huajiriwa kwa urefu na sio ujuzi wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…