OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kesho tutaambiwa Magu hausiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio hoja ya mcng kujua kuandika majina ya watu,ebu niambie ni lini wizara iliwajibika kwa kupotea kwa mtu?Nilikua na ndugu yangu alikua anaondoka tu nyumbani na haieleweki kaenda wapi.Kilichokua kinafanyika ni kutoa tu taarifa kuna ndugu yetu kapotea yuko hivi na hivi,hakuna cha kusema polisi wakamtafute wala nn.na iko hivo.Watu wengi wakipotea tumeona matangazo yakibandikwa kwa ajili ya kuwatafuta.Ingekua ni habari nyingine kama mngesema katekwa,lkn bado hoja itakuja huyo alikua anafanya kitu gani cha kusababisha atekwe? Nini uhusiano wake na hao waliomteka.Kwanza jifunze kuandika majina ya watu.
Pili, serikali inawajibu ya kuwalinda na kuwahakikishia usalama raia wake wote walio ndani na nje ya mipaka ya nchi. Inawajibu kwa raia wake wote, wanaotangazwa na wasiotangazwa. Kama haitekelezi jukumu hili, wananchi wanakila sababu ya kuishitaki serikali yao.
Majibu kama hayo niyakawaida sana kwa matukio kma hayo kwani uhalisia wa jambo unafahmika
Mkuu uko sahihi kwa 100%.ilitosha kusema kwamba ndio nimeingia ofisini siku mbili hilo ni moja kati ya mambo yaliyoko mezani kuyashughulikia.
Hapa kweli kila mtu amiliki cha moto, ukiona mtu anakumendea mendea unatandika tu.Bora kujihami na chuma tuu!
Kwa haya machache nimekuelewa sana.....Watu wengi wakipotea tumeona matangazo yakibandikwa kwa ajili ya kuwatafuta....