Madalali wenyewe ndio wanapiga misele kwenye nyumba wakiona mtu anahama tu tayari wamefika wanawaambia wenye nyumba atampelekea mpangaji tena wakati mwingine wanapandiana dau.Baadhi ya wenye nyumba uwaambia madalali wawatafutie wapangaji and sometimes dalali mwenyewe anatafuta nyumba ambazo zinahitaji mpangaji...
Mwenye nyumba yake awe responsible na kumlipa dalali kwa kumletea mteja.