Madalali wenyewe ndio wanapiga misele kwenye nyumba wakiona mtu anahama tu tayari wamefika wanawaambia wenye nyumba atampelekea mpangaji tena wakati mwingine wanapandiana dau.Baadhi ya wenye nyumba uwaambia madalali wawatafutie wapangaji and sometimes dalali mwenyewe anatafuta nyumba ambazo zinahitaji mpangaji...
Mwenye nyumba yake awe responsible na kumlipa dalali kwa kumletea mteja.
Hajasema wasilipwe, ila ni marufuku mpangaji kutoa hiyo kodi ya mwezi mmoja isipokuwa aliyempa kazi ya kutafuta mpangaji ndio amlipe dalali so wenye nyumba ndio wanatakiwa wawalipe madalili wao and obvious kodi itapanda kwa hiyo ni mule mule tu
Hako kamsemo kana maana gani hako kakilughaKumekucha Salama
Zilongwa Mbali, Zitendwa Mbali
Hiyo ni kazi, serikali inacho paswa kudai ni kodi kutokana na mapato hayo. Pia itapata faini toka mahakamani kwa kuwafungulia mashitaka ya kufanya biashara bila ya leseni. Sioni sababu ya serikali kutoa katazo la kujinyima mapato. Iwaelekeze njia sahihi za kufanya kazi hizo.Waziri wa Ardhi, William Lukuvi amepiga marufuku Madalali kuwadai Wapangaji Fedha ya Mwezi Mmoja, akiita kitendo hicho kuwa ni ujambazi.
Amesema, "Kuna baadhi ya Madalali wanapangisha nyumba halafu wanachukua kwa Wapangaji Kodi ya mwezi. Hawa wanaochukua pesa za wapangaji waache mchezo huo kwasababu ni wizi wa mchana kabisa. Wewe umeajiriwa na mwenye nyumba, yeye lazima akulipe wewe"
View attachment 2011900
Ni hulka ya utendaji kazi wa viongozi wetu. Hii ilitakiwa ishughulikiwe na au aiagize tra.Ni ngumu kuzuia sababu wapo kwenye mfumo wa biashara, so ni ishu ya kimapatano zaidi.
Mweka bango nae anawakwepa traKama una nyumba,chumba unapangisha
Inabidi sahvi nje uweke bango la tangazo
Kama unapangisha
Ova
Yanayosemwa Siyo YanayotendekaHako kamsemo kana maana gani hako kakilugha
Hata mimi nashangaa yani mtu kamfuata dalali huko ili apate huduma yake halafu et mimi mwenye nyumba ndio nilipie hiyo huduma kwa kumlipa dalali!!Anayekwenda kwa dalali kufata huduma ndo huyo huyo alipe!
Mambo yasiwe mengi!
Ila mpangaji ndio humtafuta dalali ili apate huduma yake na wakati mwengine mwenye nyumba hata hamjui huyo dalali, sasa kwa mazingira hayo iweje mwenye nyumba ndio amlipe dalali?Sawa amlipe yeye huyo dalali! Sio amtwishe gharama mpangaji huo si uungwana.
Na hata wenye nyumba wanaowalipa madalali hawawapi mwezi mmoja Kama wanavyotaka wapangaji tuchajiwe. Unakuta anapozwa elfu 20 anatulia ila mpangaji anataka ampe mwezi mzima si uhuni huo!
Sasa mwenye nyumba hataki mpangaji aje mwenyewe unamuelewajeIla mpangaji ndio humtafuta dalali ili apate huduma yake na wakati mwengine mwenye nyumba hata hamjui huyo dalali, sasa kwa mazingira hayo iweje mwenye nyumba ndio amlipe dalali?
Si kweli bali hii kazi ya udalali ni sawa na kubet tu, hebu fikiria kwamba et kisa unajua kwamba nyumba fulani kuna chumba kinapangishwa basi kiasi cha kumchukua mtu na kumpeleka tu et unapata kodi ya mwezi mzima kwa kazi kubwa ipi hapo?Hivi kweli hakuna kazi za kufanya?
Kuna wapangaji huwaga wanawadhulumu madalali hawawalipi, unakuta dalali anakuja kulalamika kwa mwenye nyumba.Huwezi kuzuia madalali kulipwa kwa sababu ni makubaliano rasmi kabla mpangani hajapelekwa kuoneshwa nyumba, kama hutaki basi zoezi linaishia hapo. Hivyo mpangaji atalipa tu atake asitake kama kweli anahitaji nyumba/ chumba.