Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko sawa, madalali wajiongeze kwa kujisajili kama kampuni, iwe kampuni moja na hata wakiwa wengi hakuna tatizo, sababu watakuwa wanatambuliwa, wanalipa kodi na kujulikana rasmi, wateja wanaenda kwa madalali waliosajiliwa, wanaonyeshwa nyumba bila kulipa chochote, siku ya mkataba, mwenye nyumba ndio inakuwa jukumu lake kumlipa dalali kutokana na makubaliano yao....Mswano...Waziri wa Ardhi, William Lukuvi amepiga marufuku Madalali kuwadai Wapangaji Fedha ya Mwezi Mmoja, akiita kitendo hicho kuwa ni ujambazi.
Amesema, "Kuna baadhi ya Madalali wanapangisha nyumba halafu wanachukua kwa Wapangaji Kodi ya mwezi. Hawa wanaochukua pesa za wapangaji waache mchezo huo kwasababu ni wizi wa mchana kabisa. Wewe umeajiriwa na mwenye nyumba, yeye lazima akulipe wewe"
View attachment 2011900
Kwani hata magazeti hawawezi kuweka 'classified'?Sikujua Kumbe bado nchi iko gizani halafu bado wanasema Jiwe alikusanya kodi hivi kodi kiasi gani imepotea kwa hawa watu wanaofanya udalali??
Kuna haja ya kuwa na website za rental houses mtu akitaka anaingia na kulipa akiridhika hij ni rahisi na salama na kila kitu kiko traced!
Happ kodi itaonekana na kukatwa kodi na hizo commision za udalali zitakatwa kodi pia
Yajayp je ?? Unsweza zurula mwenyewe ukapata nyumba au chumba? Dunia nzima brokers business ipo inalipwa kwa makubaliano sasa yeye hajatoa suluhisho pia uwanja mpana sana.....muda ni mwalim mzuri sana....Safi sana aisee!! Kongole.
Sawa ana maisha magumu lakini ndo achukue hela ya mwezi mzima??? Kwa kazi ipi kubwaa sana alofanya?awaache tu, ni ugumu wa maisha, na wao wana familia za kutunza na hawana kipato kingine. bora hao hata kuturahisishia maisha wakati wa kutafuta nyumba wanapatikana, hatuwezi kukwepa ukweli kwamba wana umuhimu wake, na ukisema wawe registered walipe kodi, aisee watu wenyewe hata anapoenda kukuonyesha nyumba unamwona kabisa ni mtu anayeishi maisha magumu anatafuta ya kula tu.
Zikiwekwa taratibu nzuri, watadhibitiwa tuMsishangilie hawa watu ni wagumu kuwadhibiti mana mwenye shida ya chumba,kiwanja,nyumba au shamba anakuwa hamjui mwenye mali. So lazima apitie kwa dalali na hapo ndo mzdalali wanapowavimbia.
Sawa posho lakini sio kodi ya mweziMatamko ya kisiasa tu hayo,madalali wanaturahisishia kazi na ni lazima wapewe posho kama ilivyo ada.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] una moyo wa chuma, nisingeweza70k?? Me nilitoa laki tisa kwa dalali iliniuma mpk nikaamua kujenga
Idea nzuri sanaSouth Africa iwe nyumba au ofisi-Kodi ni Kwa Mwezi moja mmoja+kodi ya mwezi kama deposit(dhamana ya Nyumba au ofisi uliyopangishwa) Siku unarudisha chumba/ofisi mwenye Nyumba anakagua kama umearibu kitu mfano umevunja kioo cha dirisha au koki ya maji bafuni aifungi tena etc-atakata garama ya matengenezo toka kwenye Deposit yako. Wakati nikiwa huko my best friend alikuwa ni real estate agent(kule unasomea kwanza ndo
Hapo kipengele yani! Kuna haja ya kuwekeana %! Yani dalali ale 10-20% kulingana na kiwango cha kodi. Huo ndio uwe muarobaini wa tatizo.Sawa ana maisha magumu lakini ndo achukue hela ya mwezi mzima??? Kwa kazi ipi kubwaa sana alofanya?
Imagine umepata nyumba ya laki tano, utampa laki tano dalali??
Uhakika yani wacha pakuchwe vizuriSouth Africa iwe nyumba au ofisi-Kodi ni Kwa Mwezi moja mmoja+kodi ya mwezi kama deposit(dhamana ya Nyumba au ofisi uliyopangishwa) Siku unarudisha chumba/ofisi mwenye Nyumba anakagua kama umearibu kitu mfano umevunja kioo cha dirisha au koki ya maji bafuni aifungi tena etc-
Hili suala ameliibua Mange Kimambi, alimwandikia Lukuvibbarua ya wazi,vhaijachukua hata siku moja limetolewa majibuHatimae wameuona huu ujambazi!! Afadhali.
Nafikiri sababu alilileta kwa adabuKumbe wanamsikiliza Mange.
Jamaa hajui kuna vyumba pia vinakodishwa vina madalali.Labda nyumba kubwa kubwa ila hizi za uswahili sidhani kama website zitasaidia
Utapataje nyumba nzuri bila madalali? shida zako ndiyo zitakupeleka kwa dalaliWaziri wa Ardhi, William Lukuvi amepiga marufuku Madalali kuwadai Wapangaji Fedha ya Mwezi Mmoja, akiita kitendo hicho kuwa ni ujambazi.
Amesema, "Kuna baadhi ya Madalali wanapangisha nyumba halafu wanachukua kwa Wapangaji Kodi ya mwezi. Hawa wanaochukua pesa za wapangaji waache mchezo huo kwasababu ni wizi wa mchana kabisa. Wewe umeajiriwa na mwenye nyumba, yeye lazima akulipe wewe"
View attachment 2011900