Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
70k ndiyo nini wewe fara?
Wewe ndo fara, if that…. ULIZA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
70k ndiyo nini wewe fara?
Sasa Wewe mpangaji ndio una shida ya chumba unamtafuta dalali akutafutie chumba!anashinda anazurula anatumia gharama,simu,nauli,Ili akupatie chumba sehemu unayotaka,ni lazima alipwe.Hela ya udalali inauma asee, yaani unatoa 70k hivi hivi kwa jamaa anayepiga stori kitaa na umeisotea asee.
Hatukatai madalali wana msaada ila wachukue asilimia flani.
Kiruuu,Halafu tukale wapi? Lukuvi aache ushamba
Wakiendelea tufanyeje turipot wapi?
Mmmh kaziKasema namba yake wananchi mnayo, porojo za hovyo kabisa.
Nilikua namaanisha suala la udalali angeongelea hata mkuu wa wilaya au mtendaji ili waziri aangalie yale nyeti zaidiSi kweli bali hii kazi ya udalali ni sawa na kubet tu, hebu fikiria kwamba et kisa unajua kwamba nyumba fulani kuna chumba kinapangishwa basi kiasi cha kumchukua mtu na kumpeleka tu et unapata kodi ya mwezi mzima kwa kazi kubwa ipi hapo?
Nakubali umuhimu wao madalali ila sio huo mfumo waliyouweka wa kutaka kodi ya mwezi mzima.
Hao ni wachache ambao hufanya hivyo na ukiona hivyo ujue huyo mwenye nyumba anagawana hiyo hela ya udalali na huyo dalali.Sasa mwenye nyumba hataki mpangaji aje mwenyewe unamuelewaje
Labda kuna jambo kubwa laja ndio hili suala kaliongelea waziri ili kulitia uzito.Nilikua namaanisha suala la udalali angeongelea hata mkuu wa wilaya au mtendaji ili waziri aangalie yale nyeti zaidi
Sasa Wewe mpangaji ndio una shida ya chumba unamtafuta dalali akutafutie chumba!anashinda anazurula anatumia gharama,simu,nauli,Ili akupatie chumba sehemu unayotaka,ni lazima alipwe.
Dalali ndio anatafuta chumba kwa ajiri ya mpangaji,au anatafuta mpangaji kwa ajiri ya mwenye nyumba.
Lazima alipwe na anayefanyiwa kazi.
Duuh70k ndiyo nini wewe fara?
Kodi ya mwezi. Fala tu anachukua kodi laki 3 chaapSikatai kumlipa bali tunataka asilimia flani, Kodi ya mwezi hapana asee.
Wanasema shaa ahaaKodi ya mwezi. Fala tu anachukua kodi laki 3 chaap
Kodi wanalipa ?Ni ngumu kuzuia sababu wapo kwenye mfumo wa biashara, so ni ishu ya kimapatano zaidi.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kumbe wanamsikiliza Mange.
Ya pango ya serikali?Kodi wanalipa ?
Hao madalali. Kodi ya serikali.Ya pango ya serikali?