Waziri Lukuvi atekeleza agizo la Rais Magufuli, aikabidhi Halmashauri ya Kigamboni ekari 715 za ardhi

Mmmmmmmm labda ndo mana Ufipa wanachelewa kujenga ofisi labda wameona mbali!!!!
 
Total injustice. Nyerere alifanya mambo yanayofanana na haya matokeo yake nchi ikajitumbukiza kwenye laana mpaka sasa imeshindwa kujitoa kwenye umaskini.
 
Asante kwa elimu hii mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni uporaji na wizi kama uporaji wa simu na mali unaofanywa na vibaka. Karma itatutafuna sisi mpaka vitukuu.
 
Aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha tuone, hatukawii kuuzwa mara ya pili...mradi wa mji mpya wa kigamboni...CCM Mungu anawaona ..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…