My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,592
- 11,810
Waona jua wameshatoa ufafanuzi
Kama Wewe hujui ni heri usingeandika kitu ungekaa kimya mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waona jua wameshatoa ufafanuzi
Iweke taarifa yako ilio sahihi
Mmmmmmmm labda ndo mana Ufipa wanachelewa kujenga ofisi labda wameona mbali!!!!... Rais wa JMTZ anayo mamlaka ya ku-revoke umiliki wa ardhi yoyote kutoka kwa yeyote kwa matumizi yoyote yatakayompendeza yeye bila kuhojiwa na yeyote popote wakati wowote ndani ya mipaka ya nchi. Hata kipande cha ardhi unachomiliki wewe (kama unacho) umekasimiwa tu umiliki wake kwa niaba ya Rais na ikimpendeza atakitwaa muda wowote without prior notice.
In short, Rais ndiye custodian wa ardhi yote ya Tanzania. Yaani linapokuja suala la umiliki wa ardhi yeye ndiye ALFA na OMEGA.
Manji atakuja kuidai serikali ijayo mapesa mengi sana. Haki ya mtu haipotei.
Total injustice. Nyerere alifanya mambo yanayofanana na haya matokeo yake nchi ikajitumbukiza kwenye laana mpaka sasa imeshindwa kujitoa kwenye umaskini.... Rais wa JMTZ anayo mamlaka ya ku-revoke umiliki wa ardhi yoyote kutoka kwa yeyote kwa matumizi yoyote yatakayompendeza yeye bila kuhojiwa na yeyote popote wakati wowote ndani ya mipaka ya nchi. Hata kipande cha ardhi unachomiliki wewe (kama unacho) umekasimiwa tu umiliki wake kwa niaba ya Rais na ikimpendeza atakitwaa muda wowote without prior notice.
In short, Rais ndiye custodian wa ardhi yote ya Tanzania. Yaani linapokuja suala la umiliki wa ardhi yeye ndiye ALFA na OMEGA.
Lete kilichopo tukione usibishe tu kwa maneno
= Thanks for letting me know!
Usije ukauziwa pori ekari 100 ukapewa hati utanyang'anywa tu
Kijiji au halmashauri kuuza/kupima/kumilikisha mwisho ekari 50,zikizidi faili lazima liende kwa mwenye ardhi tuliompa atutunzie ardhi yetu
Kamishna wa ardhi ataonesha kwa nini anataka kugawa ardhi yote hiyo,je kuna maslahi yoyote yatapatikana kwa hilo kabaila likipewa neema hizo za Mungu,je wananchi watanufaika vipi,Rais akiridhika atatoa go ahead
Tanzania tuna sheria nzuri/ngumu sana za ardhi,ndio mana wakenya wameishiwa nguvu katika kupigania EAC
Wahusika wameshastaafu,mpaka juzi Rais kateua kamishna mwingine,na umeona remarks zake wakati wa kumuapisha
Halafu hilo ni eneo moja tu,kuna mabomu huko ardhi unaweza kulia
Sofia Simba kamilikishwa pwani yote ya kusini mashariki kuanzia Gomvu kwenda kusini karibu kilometa 50 za beach,zote zake
Serikali inakosa mapato,kila anaetaka kuweka hoteli akiweka GPS akienda wizarani anaambiwa pana mtu!
Huna hoja jf ni uwanja wa elimu,ukipinga hoja weka hoja,mie nimekwenda maktaba ndio nimekuta nilioyaweka,sasa na wewe yako unajificha
Nakubali na ndio maana unakosoa ili kujenga maendeleo big up👍Mimi kandambili bhana!
... mnaposikia watendaji kila wanapofanya maamuzi makubwa na muhimu wanambebesha Rais "zigo" kwamba Rais kaagiza au kaamua ina maana kubwa. Tusichukulie mambo kirahisirahisi tu.