Waziri Lukuvi: Kuanzia sasa ukiwa na kiwanja kinatakiwa kiitwe kwa jina lako na la mke wako

Ndiyo maana ndugu 1 aliomba hekima ya kuongoza watu! Ndoa za Siku hizi watu hawaelewani/hawapatani yaani in vurugu! Mfano kwenye hati mko 2 akaamua kukuua kimya2 maana ndiyo anaekupikia, wewe una watoto wengine sio wake, hao watoto watakuwa wageni wa nani? Hivi huyu ndugu anaonaje hawa viumbe? Aliye waumba alituonya tuishi nao kwa akili halafu nini tena? Chonde wabunge msikubaliane na mtu huyu kama kweli kasema Hays!
 
Hakuna maana yoyote ya kujadili hajambo lisilokuwapo kisheria .hasa sisi waislam ndio hatuna habari na huo upupu maana muhtasari wetu haukubakisha kitu
 
Dalili za kuanza kuchanganyikiwa ndio hizi
 
Kwa hiyo kama hujaoa hupaswi kuwa na kiwanja?

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Sijasahau maelekezo ya waziri wa zamani Ndugu Dr. H. Mwakyembe na maagizo yake ya ukitaka kuoa/ olewa lazima uwe na cheti za uraia ( kama sijakosea)!
 
Ni jambo jema mali za wanandoa kusajiliwa kwa majina ya wanandoa wote

Wakati wanashughulikia hili wasisaha Ile sheria kwamba baba akitangulia kufa basi watoto wanaweza kuamua kuuza mali na kugawana.... hii iangaliwe upya. Wajane wanakosa makazi, malazi na kugeuka wakimbizi kwenye nyumba za watu
 

Tuanze na yeye, je amefanya hivyo, ajitokeze hadhaarani atoe ushahidi
 

Hata usipoandika majina mawili sheria inatambua mali za wanandoa. Hata mkiwa kwenye ndoa bado sheria inaruhusu kuwa n mali yako mwenyewe. Analeta shida tu n mapendekezo ya ajabu. Hizi degree zenye mashaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…