Tetesi: Waziri Maghembe kutumbuliwa


Majaliwa hajampa bado pasi mkuu, japo anaisubiria kwa hamu sana.
 
Vipi kuhusu huyu wazili............aliye sema walio uawa ni wasomalia nasakata lakupotea Ben sa8 yeye hana dalili zakutumbuliwa.mmhhh!!! Faru john naona Yuko juu kuliko binadamu.
 
Maelezo yako yamekaa kuchochezi chochezi
Mkuu wa Wilaya anakutafuta mie simo
 
Unaweza kuthibitisha habari zako kwa jamii kuwa waziri anahusika na wizi?
Hayo madai yenu kwamba Huenda Faru John amekufa kutokana na sababu mbali mbali mnaweza kuithibitishia jamii kwa kutuonyesha kaburi lake,,,,,?
 
Alinifukuza chuo huyu akafanya nihamie bara lingine kabisa . Naamini zamu yake nae imefika kuishi kama shetani.

[HASHTAG]#BringBackBenAlive[/HASHTAG].
Ulifanya kosa gani Mkuu??
 
Mama yake mdogo le mutuz aliongoa ukweli wakamfukuza huyu kaongea uongo wanamuacha sijui hii ni serikali awamu ya 5 ni matatizo tu mara rambirambi mara pesa za wahanga kununua ndege mimi sijui tu hapa kwetu Arusha ccm hawatapata chochote.


swissme
Arusha CCM huwa ipo?
 
Wanatakiwa wawinde
 
Hivi kama John mzima mzima aliuzwa 200m je pembe zake zitakuwa bei gani,,,,,? Mbona naona kama hii biashara hailipi,,,,,?
 
atatumbuliwa vipi wakati rais alitumia muda mrefu kufikiri na kuwachagua mawaziri wake?
 
[HASHTAG]#bringbackbensananealive[/HASHTAG]
 
Sasa muda wote huo wanasubiri nini kama wanajua Maghembe kawalisha matango pori? Majigambo mengi tu hakuna lolote watakalomfanya. Au wanajadiliana naye exit strategy?
 
Mkuu sio kweli kwamba waziri mkuu hawezi kusema uongo.
Kuna mmoja aliwahi kudanganya, aliyemtuhumu kusema uongo akaambiwa alete ushahidi. Ushahidi ulipoletwa ukapotezewa.....kwa maana hiyo PMs hawapo immune na uongo.
 
Mwaka 2008 Profesa akiwa kama waziri wa elimu aliwatimua na kuwarudisha nyumbani wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar UDSM kampasi ya Mlimani nadhani waliokuwepo wanaelewa hili na mambo mengine yaliowakumba vinara na wakereketwa wa mgomo ule . Wengine hawakurudi ILA wengine walirudi kwa masharti magumu sana.

Tupe sababu?
Ulifanya kosa gani Mkuu??
 
Tatizo la mfumo, Waziri ni zaidi ya Mungu! Haya lazima yabadilike. Ona Ndalichako anavyovuruga elimu kutokana anachokiota/kiamu may be kwa kushauriana na mume wake, marafiki zake, watoto wake, wakwe zake etc !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…