Waziri Mahiga: Kompyuta zilizoibwa ni za ofisi ya mashtaka mkoa wa Dar na sio ofisi ya DPP

Yawezekana sababu nilisikia ameondoka akiwa kachukia sana.
Alikua anataka kumtumbua DPP akiwa kule kule ila akaona ngoja aende mwenyewe field, unaambiwa hakuna alielala ofisi yote ya DPP na wizara husika toka siku ile, mzee mwenyewe halali
 
Mimi najua hayupo Tz
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kaenda wapi?
Kigongo anasema Germany
Hivi kweli Magu aumwe aende kwa wazungu anaowananga hivi? Si watamuweka drip ya hydrochloric?

Kigogo ni akili ndogo sana
 
hahaha mnyetishaji wako kakupa matango pori
Wewe baki unavyoamini kwamba kibetri kimezima

Bado mnaendeleza zile hekaya za mange kwamba Magu amewekewa moyo wa chuma kakatazwa kupanda ndege πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila kuwadanganys watanzania ni rahisi ndio maana CCM halitokaa itoke madarakani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Watu wa Jamiiforums kwa kujimwambafy mwambafy tu huwaambii kitu.
 
Vipande viwili vya komputa ni sawasawa na komputa moja πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Mkuu utasababisha afukuzwe kazi!

Yaani nimeumia roho na mwili, mtoa mada anajua kabisa anasema uongo wa wazi kuhusu Mh. Rais kurudi Dar eti sbb ni computers za DPP kuibiwa, wakati huu ni uongo 100%.. Ndio nikasema umbea haulipi, na mtu mzima akiwa muongo hivi na mbea hivi lazima akiwa mzee atakuwa mchawi tu..
 
Mtafanya Bashe...ti, Happy, Mnyate, na wale waropokaji wengine wajinyonge.
 
Hebu tueleze mzee nini kimekupata?. Maana naona umepanick kwa 100%. (Huku umewekewa mic karibu na mdomo). Ongea
 
Yaani "fununu" tu za kuibiwa "vipande vya kompyuta" katika ofisi ya "DPP wa mkoa wa Dar es Salaam" kama ilivyokuja kutangazwa baadae na waziri wa sheria na katiba ndiyo zimfanye rais akatishe ziara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…