Waziri Mahiga: Kompyuta zilizoibwa ni za ofisi ya mashtaka mkoa wa Dar na sio ofisi ya DPP

Kwi
Yaani "fununu" tu za kuibiwa "vipande vya kompyuta" katika ofisi ya "DPP wa mkoa wa Dar es Salaam" kama ilivyokuja kutangazwa baadae na waziri wa sheria na katiba ndiyo zimfanye rais akatishe ziara?
Kwi kwi kwi hata kwangu mimi haiingii akilini
 

kiza kinene
 
Hoja ni wizi umewezekanaje kufanyika ndani ya ofisi ya DPP! Hayo mengine ni propaganda za kisiasa ndani ya utendaji wa serikali.
 
Wewe nipe sababu iliyopelekea kurudi Dar
 
Now naona watu watakuja kubust huu uzi
 
Alikua anaogopa tusijue zile trillions alizopiga
 
Nchi hii vituko haviishi pesa alizokuwa amekusanya DPP ni bilion 105 na computer kwahiyo pesa zetu ndio zimepotea? kwanini mpaka sasa hajakamatwa mtu kwa kufanya ilo tukio?

Au serikali mlijiibia? Ilikuwaje pesa zote hizo zikawekwa kwenye ofisi na sio kupelekwa bank? Rudisheni pesa za watu Magufuli waagize police wako waache kuangaika na upinzani watafute awa wezi wapatikane.
 
Kuna mwamba moja anakitambi cha kunywea kongoro

Alidakwa within 24hours,sijui anahali gani huko alipo
 
Hizi ulisikiliza maelezo ya waziri mahiga au kelele tu ,hivi nyie waasi wa Tanzania mlijipa jina la wapinzani huwa mnaakili timamu

State agent
 
Mungu ibariki Tanzania ukipenda mwenyewe
 
Kama unajua ziliko nenda saidia zipatikane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…