Waziri Mahiga: Serikali ya Uturuki imetuambia wamiliki wa shule za Feza ni magaidi

Point nzuri sana.
 
hao walikua wametoka feza na ni watoto wa masikini, ila wa matajiri hawana usiriaz na shule kabisaaaa walifaulu kwa kua kazi yako ni kumeza tu
dah mshkaji unapenda ligi wewee, madogo wote watatu nilopiga nao class walikua maisha bora tena mmoja ni mtoto wa mkuu wa chuo lakini sote tulimkubali jamaa anajituma na anasaidiana na wanadarasa kuelekezana pale lectures zinapokuwa zimetupita kushoto
 
terrorist is the one who cause terror. eg.,when a robber sees apoliceman he's terrified,so for arobber a policeman is terrorist
 
Mkuu, hakuna udini wowote hapo. Ni ugomvi kati ya waturuki wenyewe. Shule za aina hiyo tayari zimefungwa kwa shinikizo la serikali ya Erdogan.
 
una mtoto anayesoma feza?
 
Umeanza vizuri ila umemalizia kijinga sana hao wataalamu wapo wapi??
wengi tu mimi mmoja wapo. au unataka watu maofisini wajitangaze ndio uelewe. mkuu wa shule ya feza boys mwenyewe ni zao la shule izo. nenda muhimbili kaulize kuna doctors yeyote amesoma FEZA utapata jibu.
 
wengi tu mimi mmoja wapo. au unataka watu maofisini wajitangaze ndio uelewe. mkuu wa shule ya feza boys mwenyewe ni zao la shule izo. nenda muhimbili kaulize kuna doctors yeyote amesoma FEZA utapata jibu.

Kwa hiyo kuwa Mkuu wa shule ni Utalaam sio ?
Maana kama ni Dr Muhimbili hata waliosoma Kantalamba wapo Mbona
 
F

Fetullah Gulein ni Mturuki tena mwanazuoni Wa kimataifa. Ni mwandishi pia wa Vitabu Na Sheikh. Kwa maneno yako ni Mgalatia ********!?!?
Neno galatia ndio lao asili.. Kama ni mtanganyika, zamani tuliitwa watu mzizima tukabadilishwa kuwa wana Wa Dar es salaam na waarabu
 
Mkuu pole kwa kumj
mkuu pole kwa kumjibu jamaa huyo mweupe kichwani kwenye forums za nje wapo kama hawa kitu hata kama kafanya nduguye atalalamika either kabambikiwa tena wakumtupia lawama zote ni muisrael huwa nasoma naishia kucheka
 
Watu mnadraw conclusion ya kidini. Hapo hakuna mambo ya udini. Ni siasa za Uturuki hapo. Na kuna mdau ameandika right kabisa. Kwa ujumla katoa maelezo sahihi. Ni msuguano wa manguli wawili.
 
Racip Tayip Erdogan anahiharibu Uturuki hyo jamaa king'ang'anizi ubishi,ukaidi gaidi mkubwa ni Erdogan
 
Waturuki wenyewe wanasema FEZA ni magaidi alafu nyie wabongo mnaleta ubishi..... Povu jingi..... Subirini muone


Tunajifanya tuna upeo wa kupinga kila kitu badala ya kukaa chini tujitafakari eti tunasubiri ushahidi kutoka kwa watuturuki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…