Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,508
Point nzuri sana.Ingawaje pale Magogoni pana shida kubwa kwenye eneo la diplomatic lakini Mungu mkubwa tunaye waziri sahihi kwa wizara ya mambo ya nje, ni mtu aliyebobea kwenye diplomasia.
Tena chondechonde Ngosha hasichangie comment yoyote kwenye hili maana anaweza kufyatuka akijuwa anahutubia wasukuma kumbe kuna watu serious wanaokusikiliza nukta kwa nukta.
Hili sekeseke aachiwe balozi Mahiga hilo ndilo eneo lake la kujidai, si la wafyatukaji, yeye aendelee na episode nyingine.