Kwani Nchemba pekee ndiye anasomesha mtoto hapo?Kwahiyo Mh.Mwigulu Nchemba mwanae anasoma katika shule ya Magaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Nchemba pekee ndiye anasomesha mtoto hapo?Kwahiyo Mh.Mwigulu Nchemba mwanae anasoma katika shule ya Magaidi.
"UKIZINGIRWA" sitashangaa!Kwahiyo Mh.Mwigulu Nchemba mwanae anasoma katika shule ya Magaidi.
Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Augustino Mahiga amesema serikali ya Uturuki kupitia balozi wake hapa nchini imedai wamiliki wa shule za Feza Tanzania walifadhili jaribio la mapinduzi Uturuki
Serikali hiyo inadai mapinduzi hayo hayakuanzia jeshini tu bali yameanzia kwenye vyuo na shule mbalimbali Uturuki na nje ya uturuki
Ubalozi wa Uturuki umesema wamiliki wa shule hizo hapa nchini wanahusika na kufadhili mapinduzi hayo huko Uturuki na ada inayokusanywa kutoka kwenye shule hizo ilitumika kufadhili mapinduzi hayo na ni magaidi
Balozi Mahiga amesema wametaka ushahidi zaidi kutoka serikali ya Uturuki kuhusu madai hayo
Walimu wa shule ya Feza wamedai wao hawahusiki kabisa na mapinduzi hayo na shule zao hazijihusishi na mambo ya siasa na zinamilikiwa na watanzania
We kwa upeo wako unadhani ni Mwigulu pekee ndo mwenye mtoto pale. Huo ni mfano tuKwani Nchemba pekee ndiye anasomesha mtoto hapo?
Swadakta ! Na ukiangalia kisa chake inaweza kuwa waligoma kuchangia kampeni za ccm .Hapo kunatengenezwa uzushi kuzichafua hizo shule hakuna lingine,tunajua upande flani hauna haki hapa tanzania basi tuachieni hata hivyo vichache jamani.
Ugaidi ni nini??inamaana hao waturuki wanawafundisha ugaidi wanafunzi wa dini gani maana huu ugaidi upo dini fulani
Hata Mwigulu Nchemba alisema CHADEMA ni magaidi na akenda zaidi ya hapo kusema kuwa anao ushahidi wa hapa duniani na hata mbinguni kuwa CHADEMA ni magaidi. Kwa hiyo naye tumwamini kwa sababu ni mtz anayesema watz wenzake ni magaidi?Waturuki wenyewe wanasema FEZA ni magaidi alafu nyie wabongo mnaleta ubishi..... Povu jingi..... Subirini muone
Kwahiyo wanasomea ugaidi?Kwahiyo Mh.Mwigulu Nchemba mwanae anasoma katika shule ya Magaidi.
walimu wa shule za FEZA ambao ni raia wa Uturuki wamekuwa wakitumia mbinu za kigaidi kufundisha wanafunzi.