Waziri Mahiga: Serikali ya Uturuki imetuambia wamiliki wa shule za Feza ni magaidi

Waziri Mahiga: Serikali ya Uturuki imetuambia wamiliki wa shule za Feza ni magaidi

Putin sio wa kucheza nae nilijua kama hajapiga atatumia mbinu nyingine ya wao wenyewe Serikali ilifanya kosa kuipiga ndege ya Urusi na kukataa kuomba msamaha ona yanayotokea sasa Lawama kila kona mpaka kwa wanafunzi...
 
The bottom line of the entire story ni udini. Shule za FEZA ndio zilionekana kutoa upinzani mkalikwa shule za makanisa na hili lilikuwa halifurahiwi. Kama zilikuwa zinatumia mbinu za kigaidi kufundishia wanafunzi(sijui ndio maana wanafanya vizuri mitihani yao) Serikali ilikuwa wapi wakati wote huo " isiwashughulikie"? Wacheni unafiki wa kidini tena kweupe
Kahiyo makanisa yameenda kuleta UNAA huko Uturuki ili Shule ya FEZA ifungiwe
 
June 2016
By the Financial Times FT

The reasons behind recent Turkey leader Recep Erdogan’s Africa tour

Does Mr Erdogan have any other motives here?

There is also a local element of Turkish politics being played out in the president’s Africa trips. A significant part of his private meetings have focused on cutting the influence of an imam named Fethullah Gulen, a former ally with whom he publicly fell out in 2013.

For many years, most Turkish businessmen working in Africa were followers of Mr Gulen, who also ran elite private schools that educated the children of senior African officials, especially in Uganda and Kenya. After the two men fell out over a corruption scandal, Mr Erdogan has vowed to prosecute Mr Gulen, who lives in self-imposed exile in the US.

ab83ea41-0b5b-4cb9-ab08-fc93dbfa402a.img
©AFP
Imam Fethullah Gulen, right, a former ally of Turkey president Recep Erdogan, left

The president is now keen to deter Africans from using the schools and stamp out any sway that Mr Gulen’s followers may still retain on the continent. “In Africa, they were running a parallel structure, pretending to represent the Turkish government,” one official who is travelling in Africa with Mr Erdogan told the FT. “This has to stop.”

However, African officials are not keen to get involved in Mr Erdogan’s domestic vendetta. “They are confused by the constant turmoil and are not interested in this issue at all,” said a recently retired official at Turkey’s ministry of foreign affairs. “These [the Gulenists] are people they have known and done business with for decades.”

Indeed, the Turkish president’s growing authoritarian streak at home might cause unease among potential foreign partners. “He’s very ideological and Africans won’t want the baggage of the fundamental issues,” says Aly-Khan Satchu, a Kenyan investment analyst.
Source: The reasons behind Turkey leader Recep Erdogan’s Africa tour - FT.com
 
Nimewahi kusikia kiongozi wa kidini wa uturuki anayeishi marekani fetulla Gullen anamiliki shule nyingi sana hapa duniani yawezekana feza ni mojawapo. Na huyu jamaa inasadikika ndo mfadhili wa mpango wa mapinduzi yaloshindwa.
CIA ndo walifund hayo mapinduzi,karibu dola bilion 3 zilitumika kufinince mapinduzi na ziliingilia bank moja nchini nigeria na kuanza kusambazwa step by step kwa wahusika.
Inasemwa mkakati ilibidi wa ufast track haraka haraka baada ya endorgan kutonywa na warusi kuhusu mpango wa kumpindua na ilikuwa atoke mapumzikoni alikokuwa ameenda ili kamatakamata ianze,
so jamaa wakaamua kupre empt na kuanzisha mapinduzi haraka kabla hata hawajakamilisha maandalizi.
Ili ni wazi kuwa mtandao wa Gullen ndo umehusika wakisaidiwa na wamarekani.
Sasa marekani wenyewe wako njia panda,either wamtoe gullen kwa uturuki na siri zikajulikane jinsi marekani ilivyohusika,ama wasimtoe gullen na uturuki inahamia kambi ya russia
 
The bottom line of the entire story ni udini. Shule za FEZA ndio zilionekana kutoa upinzani mkalikwa shule za makanisa na hili lilikuwa halifurahiwi. Kama zilikuwa zinatumia mbinu za kigaidi kufundishia wanafunzi(sijui ndio maana wanafanya vizuri mitihani yao) Serikali ilikuwa wapi wakati wote huo " isiwashughulikie"? Wacheni unafiki wa kidini tena kweupe
Aliyeibua hizo tuhuma ni balozi wa Uturuki, Mahiga yeye amewaambia wathibitishe madai yao, ukianza kueta masuala ya dini utaonekana hovyo sana na unajiaibisha wewe na wafuasi wa dini yako
 
Nadhani una matatizo . Kwani waliotoa hayo madai ni Watanzania au Waturuki wenyewe?
Endorgan alishaapa kumkomesha huyo rafiki yake wazamani Gullen,huko uturuki kwenyewe vyuo na mashule mengi yamefungwa na anasema atafungwa iwe biashara,shule etc duniani nzima.

Hivi unacheza na Endorgan,yule jamaa ni kichwa ngumu kwelikweli
 
The bottom line of the entire story ni udini. Shule za FEZA ndio zilionekana kutoa upinzani mkalikwa shule za makanisa na hili lilikuwa halifurahiwi. Kama zilikuwa zinatumia mbinu za kigaidi kufundishia wanafunzi(sijui ndio maana wanafanya vizuri mitihani yao) Serikali ilikuwa wapi wakati wote huo " isiwashughulikie"? Wacheni unafiki wa kidini tena kweupe

Kwani balozi wa uturuki aliyesema hizo shule zilikuwa zinatumia mbinu za kigaidi ni mkristo? Hayo ya ugaidi hayajasemwa na kanisa wala serikali ya Tanzania yamesemwa na balozi wa uturuki.
 
Unafiki huu unatokea hapa hapa wala haujavuka mipaka ya nchi; Matatatizo ya Uturuki ni kichaka tu kinachotumika kuficha mikakati potofu na husda!
Mbona kama sijakuelewa vile ndugu yangu..MAHIGA amemqoute...Balozi...ambae anawakilisha Nchi yake ya Uturuki hebu nifafanulie hapo huenda tuongea Lugha 1 tatizo inaweza kuwa Tafsiri
 
Aliyeibua hizo tuhuma ni balozi wa Uturuki, Mahiga yeye amewaambia wathibitishe madai yao, ukianza kueta masuala ya dini utaonekana hovyo sana na unajiaibisha wewe na wafuasi wa dini yako
Ndio maana nimeomba anisaidie kufafanua...sababu mambo yako wazi lkn MTU anataka aongee lile linalomfurahisha tu
 
CIA ndo walifund hayo mapinduzi,karibu dola bilion 3 zilitumika kufinince mapinduzi na ziliingilia bank moja nchini nigeria na kuanza kusambazwa step by step kwa wahusika.
Inasemwa mkakati ilibidi wa ufast track haraka haraka baada ya endorgan kutonywa na warusi kuhusu mpango wa kumpindua na ilikuwa atoke mapumzikoni alikokuwa ameenda ili kamatakamata ianze,
so jamaa wakaamua kupre empt na kuanzisha mapinduzi haraka kabla hata hawajakamilisha maandalizi.
Ili ni wazi kuwa mtandao wa Gullen ndo umehusika wakisaidiwa na wamarekani.
Sasa marekani wenyewe wako njia panda,either wamtoe gullen kwa uturuki na siri zikajulikane jinsi marekani ilivyohusika,ama wasimtoe gullen na uturuki inahamia kambi ya russia

Mkuu,
Yaweza kuwa kweli maana hata kabla ya jaribio lilofeli la mapinduzi gazeti/jarida ''huru'' la kimataifa la Financial Times FT mwezi June 2, 2016 waliandika juu ya mkatati wa kukata ''mizizi'' ya ''biashara'' za ''wafuasi wa Gullen :

There is also a local element of Turkish politics being played out in the president’s Africa trips. A significant part of his private meetings have focused on cutting the influence of an imam named Fethullah Gulen, a former ally with whom he publicly fell out in 2013.

For many years, most Turkish businessmen working in Africa were followers of Mr Gulen, who also ran elite private schools that educated the children of senior African officials, especially in Uganda and Kenya. After the two men fell out over a corruption scandal, Mr Erdogan has vowed to prosecute Mr Gulen, who lives in self-imposed exile in the US.

The reasons behind Turkey leader Recep Erdogan’s Africa tour - FT.com
 
Mimi nafikiri Rais wa Uturuki anatafuta mbinu za kuwanaliza Waturuki wote wenye uwezo kifedha ambao anahisi wanaweza kula njama za kumuondoa madarakani, ni hilo tu.

Viongozi wengi Duniani wasio jiamini utumia mbinu hizo kuwadhibiti/kuonea raia wanao wahisi vibaya, hata baadhi ya Viongozi wa Africa Mashariki na Kati wanatumia sana mbinu hizo wangine wanafikia hatua ya kuwauua popote walipo au kuwafunga maisha.

..wachangiaji wanakosea kulichukulia suala hili kirahisi-rahisi.

..wamiliki wa shule za Feza wanatuhumiwa kuhusika na UHAINI nchini kwao. Hizi ni tuhuma nzito.

..kama nchi tunatakiwa tuwe makini sana na watu hao.

..tuangalie maslahi mapana ya nchi yetu KIUCHUMI na KIUSALAMA.
 
Mawaziri wa kukurupuka mnawezaje kuzungumza pasipo kuthibitisha ukweli ninyi Tena wewe ndo mahiga ndo amna uswahiba ndo umekuweka hapo
 
Aidha, Ubalozi wa Uturuki Tanzania umedai kuwa baadhi ya walimu wa shule za FEZA ambao ni raia wa Uturuki wamekuwa wakitumia mbinu za kigaidi kufundisha wanafunzi.
Ahaaa, kumbe ndio maana watoto wa shule hizi wanafaulu sana! [emoji39]
 
Serikali ya Tanzania yasema haina ushahidi wa kutosha kuzitia hatiani shule za Feza zinazodaiwa kumilikiwa na raia wa Uturuki anayetuhumiwa kujihusisha na jaribio la kupindua Serikali ya Uturuki.

Serikali ya Uturuki inadai wamiliki wa shule hizo na baadhi ya wafanyabiashara wanafadhili ugaidi kwa kushirikiana na Imamu Fethullah Gulen anayeishi nchini Marekani ambaye ndio inadaiwa yuko nyuma ya jaribio la Mapinduzi.

= > Serikali ya Uturuki yatakiwa kuwasilisha taarifa zenye ushahidi wa kutosha juu ya hili.

= > Aidha, Ubalozi wa Uturuki Tanzania umedai kuwa baadhi ya walimu wa shule za FEZA ambao ni raia wa Uturuki wamekuwa wakitumia mbinu za kigaidi kufundisha wanafunzi.

Feza wakanusha kuhusika

Maelezo ya msemaji huyu wa shule yana walakini. Anasema kweli kwamba wamiliki ni watanzania? OK ni watanzania. Ni watanzania wa aina gani? Je, ni wale wenye asili ya ........

FEZA miaka yote wana uhusiano na nchi ya Uturuki. KUna kipindi walikuwa wanaendesha mashindani kwa shule za Dar, wakishindanisha wanafunzi wa shule chache za Dar ikiwemo FEZA na wanafunzi washindi walikuwa wakipelekwa Uturuki. Zaidi ya kukataa kuhusika na hayo ya ugaidi, hebu aeleze uhusiano wa FEZA na uturuki ni upi??
 
Ni kweli ameongea ki-shallow sana wakati pembeni yake tu kuna Mturuki!
 
Back
Top Bottom