YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Fethullah Gullen yeye sio mmiliki wa shule za FEZA
Tutajie majina ya wamiliki wa hizi shule za FEZA za Tanzania ni akina nani na uraia wao ni wa wapi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fethullah Gullen yeye sio mmiliki wa shule za FEZA
Maana navyojua Mimi mafunzo ya ugaidi ni kutumia silaha kama milipuko.Mkuu taratibu
The bottom line of the entire story ni udini. Shule za FEZA ndio zilionekana kutoa upinzani mkalikwa shule za makanisa na hili lilikuwa halifurahiwi. Kama zilikuwa zinatumia mbinu za kigaidi kufundishia wanafunzi(sijui ndio maana wanafanya vizuri mitihani yao) Serikali ilikuwa wapi wakati wote huo " isiwashughulikie"? Wacheni unafiki wa kidini tena kweupe
Wenzetu wapo juu sana katika intelijensiaWaturuki Kwahili Ni Wazushi, Wao Walitaka Kupinduana...
Sasa Mas-ala Yao Ya Kisiasa Wameamua Kumfatilia Kila Mpinzani Anayeishi Hata Kama Nje Ya Nchi Katika Sehemu Yeyote Hile Duniani ikiwemo Tanzania Kumzima Kwa Njia Yoyote hile.
Kwahiyo Wanataka Kuitumia Tanzania Kisiasa Kutaka Kuwazima Wamiliki wa Feza Kwakuwa Chama Kinachotawala Uturuki Kinaamini Kuwa Ni Wapinzani.
Na Kwa Mujibu Wa Uturuki Katika Jitihada Zao Za Kutaka Kuzima Upinzani Basi Wamehukumu Kuwa Kila Mpinzani Basi Kwa Njia Moja au Nyengine Itakuwa Alihusika Katika Mapinduzi.
Serikali ya Tanzania yasema haina ushahidi wa kutosha kuzitia hatiani shule za Feza zinazodaiwa kumilikiwa na raia wa Uturuki anayetuhumiwa kujihusisha na jaribio la kupindua Serikali ya Uturuki.
Serikali ya Uturuki inadai wamiliki wa shule hizo na baadhi ya wafanyabiashara wanafadhili ugaidi kwa kushirikiana na Imamu Fethullah Gulen anayeishi nchini Marekani ambaye ndio inadaiwa yuko nyuma ya jaribio la Mapinduzi.
= > Serikali ya Uturuki yatakiwa kuwasilisha taarifa zenye ushahidi wa kutosha juu ya hili.
= > Aidha, Ubalozi wa Uturuki Tanzania umedai kuwa baadhi ya walimu wa shule za FEZA ambao ni raia wa Uturuki wamekuwa wakitumia mbinu za kigaidi kufundisha wanafunzi.
Feza wakanusha kuhusika
Maswali mazuriTutajie majina ya wamiliki wa hizi shule za FEZA za Tanzania ni akina nani na uraia wao ni wa wapi.
Kutakatisha fedha natafakariLa msingi ni kupata ushahidi wa kutosha. Kama balozi wao amesema anahusika na ugaidi, inahusika na imamu fethullah aliyeko Marekani, imeshiriki katika jaribio la mapinduzi uturuki, serikali ya Tanzania inakanusha kwa sababu hawa watu inawachunga masaa 24 kwa ukaribu, inamiliki mawasiliano na mahusiano yao yote, inascan nyendo zao majumbani mwao na kila kitu wanafanya?
Siyo busara kukanusha jambo bila research. Wanatakiwa kushirikiana na serikali ya uturuki ili ku establish misingi ya tuhuma hiyo kabla hawajaeda hatua za kukanusha ama kukubali.
Baada ya kuestablish facts, waombe kujua Turkey inahitaji nini na serikali hapo ipime kama ombi hilo linatekelezeka ama kuna namna nyingine.
Watu wanachanganya Feza kama shule na umililki wa shule. Anayetuhumiwa kwa ugaidi ni umiliki wa shule siyo shule.
Shule zinaweza kufuata kila suala zuri la elimu kama vile gaidi anavyoweza kuwa na biashara nzuri ya kuoka na kusambaza keki zisizo na sumu. Lakini bado nia yake na matumzi ya mapato yake yakawa kufanikisha uovu mahala fulani duniani.
Tunasoma kila siku magaidi wanahusika na mauaji ya tembo wetu, biashara za madini yetu, mafuta n.k. Kuwa na mmiliki wa shule nzuri inayofanya vizuri siyo taswira ya dhamira na mipango yake.
Serikali iwe makini na hili lsuala kwa maslahi ya taifa letu. Magaidi wanapata resources kwa njia nyingi sana zikiwemo biashara halali na haramu.
Duh! Jamaa umenikumbusha ada elekeziWatoto Wa wakubwa na matajiri na watu wenye uwezo wao ndio wanasoma shule hizo hawawezi kuzifungia zaidi watawambia wapinzani Wa erdogan popote duniani wake kuwwkeza Tanzania watawalinda... Hizo shule zikifungwa zitakatisha ndoto za watoto Wa vigogo... Hilo haliwezekani ndio maana Ada elekezi ilishindikana
shule za FEZA zinaendeshwa na wafanyabiashara wa kitanzania na waturuki wachacheTutajie majina ya wamiliki wa hizi shule za FEZA za Tanzania ni akina nani na uraia wao ni wa wapi.
Kutakatisha fedha natafakari
shule za FEZA zinaendeshwa na wafanyabiashara wa kitanzania na waturuki wachache
mkuu umemsahau mwigulu wa arusha alivyofanya yake,yupo kimkakati zaidi.Kwahiyo Mh.Mwigulu Nchemba mwanae anasoma katika shule ya Magaidi.
Hata Mandela, Samora, Mugabe na wakombozi wengine waliwahi kuitwa magaidi. Imekuwa ni fashen kwa kila anayepinga status quo anaitwa gaidi! ili kulinda maslahi kikundi.Waturuki wenyewe wanasema FEZA ni magaidi alafu nyie wabongo mnaleta ubishi..... Povu jingi..... Subirini muone
Labda nijuzwe kidogo nimeona Makanisa yakimiliki shule na taasisi za kibiashara lakini bado sijaona Misikiti inayofanya hivyo bali nimeona misikiti ndani ya taasisi fulani.So hata Feza umiliki wake sidhani kama umeasisiwa kidiniTaarifa zimepelekwa kwa hao jamaa kua huku tanzania kuna shule ya upande fulani imeanza kufaulisha sana tufanyeje ili tuiue tubaki na shule zetu?kwa vile nchi yetu ni ya upande fulani basi wakatoa ushirikiano haraka sana.
atahusishwa na ugSasa na mtoto wa mkuu anasoma FEZA itakuwaje?
Kiongozi nadhani hujaelewa issue nikwamba hizi Shule zinamilikiwa na Jamaa alietaka kupindua Serikali....nakwenye Mapinduzi inatumika Pesa..Kwahiyo inasemakana chanzo cha pesa zinazoSupport huo ugaidi zinapatikana miongoni mwa hizo Shule sasa wanataumia ile ukitaka kumuua NYOKA mkate KICHWA kabisaHiyo kauli ya serikali ya Uturuki ni ya kipuuzi kabisa. Shule za FEZA zipo kwenye mataifa mbalimbali zaidi ya 50. Watoto wangu 3 wamesoma FEZA, Mmojawapo akiwa amejiunga mwaka huu. Wawili wa mwanzo waliwahi kutembelea Uturuki mara 2 wakiwa masomoni kwaajili ya mashindano mbalimbali. Wakiwa huko walitembelea majimbo na vyuo vikuu mbalimbali wakikaribishwa na viongozi wa majimbo wa serikali ya Uturuki. Ina maana sahizi ndiyo wamegundua kuwa shule hizo ni za kigaidi? Kwa nini haikusemwa miaka ya huko nyuma?
Huyu Waziri Mkuu alikwishawahi kufungwa alipokuwa mwanachama wa Islamic Party na anatajwa kuwa ni mdini, na wengi wanaomuunga mkono ni wale wenye siasa za mlengo wa kidini, sasa anawageuzia wapinzani wake. Huyu naona ameamua kuiga siasa za baadhi ya viongozi wa Kiafrika, usipokubaliana nao wanataka usifanikiwe katika shughuli zako nyingine ambazo una haki za kikatiba.
It's obvious as mentioned by the Turkey government some of the teachers impart secretly dangerous doctrine to our sons and daughters hence let our able government led by Dr Magufuli as President take heed, take appropriate action at the right time after thorough investigation, we should remember the sayings of the retired president Jakaya Kikwete,"akili za kuambiwa changanya na za kwako"!!!!!Unamaanisha Waturuki wazushi