Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
so nawe unaamini kuwa Gullen ni gaidi?,Zinaweza kuwa zinaenda kwa mfumo wa kawaida kabisa bila hata utakatishaji lakini zimelengwa kufanikisha ugaidi.
Wakisema wanatuma fedh akwenda kwa yule Fetullah aliyeko marekani, kwa jambo sahihi kabisa na la wazi, nani ataquestion? Fetullah anapochannel hizo fedha kutoka amerika, Tz inasimamiaje kwamba haziendi kufanikisha ugaidi?
Serikali ichunguze.
Hifadhi maneno yako mjomba .Kwa hii post umejitoa ufahamu kabisa....hivi wanaolalamika kuwa FEZA wanahusika Na jaribio la Mapinduzi huko Uturuki ni serikali ya Uturuki au serikali Tanzania.?
iyo=hiyomimi ni mmoja wa wanafunzi nimesoma apo FEZA o-level na high-level. shule za FEZA hazina mtaala wowote unaofundisha ugaidi.
shule ina walimu mchanganyiko waturuki na watanzania. wanafunzi wengine niliosoma nao sasa hivi ni walimu apo FEZA. kwa mfano mkuu wa shule ya FEZA boys alisoma apo O-level baadae akafanya bachelor Uturuki na masters kafanya UDSM.
miaka yote iyo tumesoma mpaka sasa kila mtu anafanya maisha yake sijawahi kusikia ata siku moja mwanafunzi yeyote wa FEZA ambaye amefanya tukio la kigaidi. wengi wetu tumekua watu wema kutokana na mafunzo mazuri tuliyopata pale shuleni.
nimewahi kua moja wa kiongozi wa wanafunzi ila hakuna ata siku moja ambayo tumeelekezwa tufanye tukio la ovyo. shule ziko serious na elimu pekee. shule za FEZA zinajiendesha kutoakana na ada wanazolipa wazazi wa wanafunzi matajiri pia wanafunzi maskini wanasomeshwa kutokana na michango ya wazazi matajiri na baadhi ya wanafunzi waliosoma apo ambao asilimia kubwa wamefanikiwa kimaisha.
ivyo basi kwa mimi binafsi naweza kusema kuwa shule za FEZA hazina uhusiano wowote ule na ugaidi. Uturuki raisi Erdogan amevurugwa tu kutokana na sera zake za ovyo za kuminya demokrasia na ndio maana mpaka leo umoja wa ulaya (EU) wameshindwa kuiruhusu uturuki kujiunga na umoja huo kutokana na uvunjifu mkubwa wa demokrasia.
Waturuki ni watu wanapenda sana biashara na wamesambaa kila kona ya dunia na wamechangia kukua kwa uchumi kwa nchi mbalimbali duniani kwa kutoa ajira kwa wazawa wa mataifa ambayo wanawekeza. kwa mfano ukienda Poland, Germany na mataifa mengi tu ya ulaya jamaa wametoa ajira kwa mamilioni ya watu.
kwa mfano rafiki zangu wengi tu hapa bongo na ata nje ya nchi wanafanya kazi na waturuki na wako vizuri tu. Fethullah Gullen yeye sio mmiliki wa shule za FEZA ila yeye alitoa idea kwa waturuki kuanzisha mashule nje ya uturuki ili kutoa elimu bora kwa mataifa mbalimbali duniani.
Hachangii na wala hapewi ata senti kutoka kwenye shule. uwekezaji hapa bongo wote umefanywa kutokana na ada na michango ya watanzania wachache ambao wameshawishika kuchangia shule.
rafiki yangu mmoja baba yake mzazi ametoa tiles za shule nzima for free. mimi pamoja na wanafunzi wengine tumeshapiga rangi sana shule za FEZA kwa kujitolea. ivyo basi naweza sema shule za FEZA hazina uhusiano wowote ule ayo mambo yao ya ndani ya uturuki wajaribu kumalizana nayo wenyewe.
huo ubalozi kama unajua kuhusu iyo michango ya kigaidi basi wafungie hizo account ambazo zinapewa iyo misaada. Nigeria wamemgomea Erdogan na serikali yake kuhusu kufunga shule za aina ya FEZA ambazo zipo Uturuki ivyo serikali yetu isiyumbishwe kutokana na uyo Erdogan.
shule hizi zinazalisha wataalamu wakutosha ambao wana mchango mkubwa tu kwa taifa ili. rafiki zangu wengi tu sasa hivi ni madiktar katika hospitali za hapahapa nchini, wengine mainjia wazuri tu na wanasaidia mambo mbalimbali.
acha hizo hapa hatuko kwenye kufundishana lugha kama huamini acha iwe ivyo hatuko kubishana hapa. it is non of ur business maniyo=hiyo
ata=hata
kua=kuwa
Ukiweza kurekebisha hayo makosa utakuwa umehitimu shule ya FEZA kihalali!
hizo ni propaganda tuWaturuki wenyewe wanasema FEZA ni magaidi alafu nyie wabongo mnaleta ubishi..... Povu jingi..... Subirini muone
so nawe unaamini kuwa Gullen ni gaidi?,
It is my business sir/madam, as long as you have decided to post your comments in this PUBLIC forum! And yes... we are here to teach and learn, critisize and compromise!acha hizo hapa hatuko kwenye kufundishana lugha kama huamini acha iwe ivyo hatuko kubishana hapa. it is non of ur business man
Waliosema feza ni magaidi ni serikali ya uturuki na sio dini nyingine, na hata ugaidi wameufanyia uturuki na sio Tanzania, kwa hiyo sioni sababu ya kuwahusisha watu wengineThe bottom line of the entire story ni udini. Shule za FEZA ndio zilionekana kutoa upinzani mkalikwa shule za makanisa na hili lilikuwa halifurahiwi. Kama zilikuwa zinatumia mbinu za kigaidi kufundishia wanafunzi(sijui ndio maana wanafanya vizuri mitihani yao) Serikali ilikuwa wapi wakati wote huo " isiwashughulikie"? Wacheni unafiki wa kidini tena kwwha eupe
Yaani wewe ni K kweli kweli. Hizo shutuma dhidi ya Feza schools zimetolewa na serikali ya Uturuki. Uturuki yenyewe ni waislam kwa 85% na serikali yetu ndio ina watetea hao Feza na wala haitaki kuzifungia kwa stupid allegation za Serikali ya Uturuki na Erdogan.Hapo kunatengenezwa uzushi kuzichafua hizo shule hakuna lingine,tunajua upande flani hauna haki hapa tanzania basi tuachieni hata hivyo vichache jamani.
Uturuki wanajua zaidi.so nawe unaamini kuwa Gullen ni gaidi?,
ndo maana umeconclude kabla hayta hujamjua ni nani.Magaidi wana alama gani maalumu ya kuwatambua? Gullen kwanza ni nani?
Bahati mbaya mimi nimesoma na wanafunzi masikini kutoka Feza boys. Wanasema wazazi wao hawana uwezo wa kuwasomesha pale. Ila kwakua wako bright na wana ipatia sifa shule ndio maana wakapelekwa pale kusoma.You Nailed it Bro, nimesoma University na wanafunzi waliosoma Feza, napenda niseme kweli jamaa wapo serious na kitabu na nidhamu ya hali ya juu. tusije tukaentertain mambo ya nje yavuruge mazuri yetu ya ndani.
Ni vizuri pia tukang'oe bati za nyumba ya waziri mkuu na makamu wa raisi pale oysterbay tupeleke shule za kayumba pia ni za magaidi.......Udini na siasa ikitawala fikra yako huwezi tofautisha usiku wala mchana.Funga shule za magaidi.
Ila beba vitabu vyote watakavyo acha laibrari peleka senti kayumba ili madenti waje wasome senti kayumba
Ng'oa na bati zao peleka kupiga rufu za senti kayumba wasinyeshewe na mvua wala kupigwa jua
Mmelogwa na nani nyie watu?The bottom line of the entire story ni udini. Shule za FEZA ndio zilionekana kutoa upinzani mkalikwa shule za makanisa na hili lilikuwa halifurahiwi. Kama zilikuwa zinatumia mbinu za kigaidi kufundishia wanafunzi(sijui ndio maana wanafanya vizuri mitihani yao) Serikali ilikuwa wapi wakati wote huo " isiwashughulikie"? Wacheni unafiki wa kidini tena kweupe