Waziri Mahiga: Serikali ya Uturuki imetuambia wamiliki wa shule za Feza ni magaidi

Nimewahi kusikia kiongozi wa kidini wa uturuki anayeishi marekani fetulla Gullen anamiliki shule nyingi sana hapa duniani yawezekana feza ni mojawapo. Na huyu jamaa inasadikika ndo mfadhili wa mpango wa mapinduzi yaloshindwa.
 
Kumbe shule ya FEZA ni mali ya Mtanzania? Kumbe watanzania wanaweza wekeza hata ulaya? safi sana.
 
Kwani tafsiri ya Ugaidi ni kujaribu kupindua Nchi? Kama ni hivyo basi na akina HANSPOPE ni magaidi. Hawaitwa wahaini si wahaini wa Tanzania bali ni wahaini wa serikali ya Uturuki.
 

God save. Hope zero capital washing + polarization of our chiktitos
 
Hapa ndiyo tutaona Umahiri wa Waziri Mahiga katika Diplomasia ya Kimataifa.

Je Uhusiano wa Tanzania na Uturuki ni muhimu zaidi kuliko uhusiano na Shule za Feza? Siasa inaweza kutufanya tuziue shule kadhaa kwa ajili ya matakwa ya siasa za nchi rafiki? Wakati ndiyo utasema..

Lakini kwa Ushauri nafikiri Serikali inatakiwa kuziweka chini ya uangalizi wa Wizara mpaka hili wingu lipite kuliko kuzifunga..
 
Ingekua wawekezaji wote wanalindwa kwa namna hii hakika nchi yetu ingesonga mbele.

Utawala huu huu wa awamu ya tano ndio kinara cha kutoa matamko ambayo huenda yakaathiri uwekezaji.

Kwenye swala la Feza kuna swali bado la kujiuliza, je hawastahili kushikiliwa wakati uchunguzi ukiendelea? Je athari ya diplomasia na uturuki ni ipi?
 
Mmh hivi wale watoto wakishua wa Feza utawafundisha mbinu gani za kigaidi...au ugaidi n topic..apo.kwenye ugaidi ni uongo
 
Serikali ya Uturuki ni waongo !, wamekubwa na kuchanganyikiwa na jaribio hilo sasa wanataka kumuingiza kila mtu hata asiyehusika !. Wemesingizia eti shule hizo zinafundisha ugaidi !. MFA wasipate taabu kulithibitisha hili, wawasiliane na Baba Mwana Asha , kwa sababu Mwana Asha alisoma hapo.

Pasco
 
Waturuki wenyewe wanasema FEZA ni magaidi alafu nyie wabongo mnaleta ubishi..... Povu jingi..... Subirini muone
Hata Mwigulu Nchemba alisema CHADEMA ni magaidi na akenda zaidi ya hapo kusema kuwa anao ushahidi wa hapa duniani na hata mbinguni kuwa CHADEMA ni magaidi. Kwa hiyo naye tumwamini kwa sababu ni mtz anayesema watz wenzake ni magaidi?

Yule Bi mkubwa anayeuliza watu kama walienda shule kusomea ujinga yuko wapi siku hizi?
 
Huo ni ugomvi binafsi kati ya Gulen na endorgan.
Ikumbukwe Gulen ndo aliemsponser Edorgan akapata kushinda urais,
gulen ni Roastam aziz wa uturuki,yaani ana hela na nadhani Feza ni moja ya shule zake,kwani hata uturuki ana mtandao wa shule na vyuo.
Gulen baada ya rafiki yake Endorgan kuwa rais aligundua kuwa walibugi step,endorgan ni siasa kali na anataka awe mtawala wa calphate ya kiislam na step yake ya kwanza ilikuwa ni amtoe assad wa syria madarakani,etc.
Sasa Gullen alisoma upepo akaona namba hazisomeki akahamia marekani,
wamarekani nao walikuwa wameshamchoka Edorgan,na walikuwa wanataka mtu ambae anaaminika na ambae marekani wataweza kusikizana nae,wakapanga kumwondoa madarakani Endorgan,wakitumia mtandao wa Gullen,jaribio lililoshindwa
 
walimu wa shule za FEZA ambao ni raia wa Uturuki wamekuwa wakitumia mbinu za kigaidi kufundisha wanafunzi.


The bottom line of the entire story ni udini. Shule za FEZA ndio zilionekana kutoa upinzani mkalikwa shule za makanisa na hili lilikuwa halifurahiwi. Kama zilikuwa zinatumia mbinu za kigaidi kufundishia wanafunzi(sijui ndio maana wanafanya vizuri mitihani yao) Serikali ilikuwa wapi wakati wote huo " isiwashughulikie"? Wacheni unafiki wa kidini tena kweupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…