Waziri Makamba aelezea mafanikio ya mwaka mmoja wa rais Samia katika sekta ya Nishati

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
MUDA HUU

Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba Yupo Azam UTV akieleza Makubwa Yamefanyika Wizara ya Nishati Mwaka Mmoja wa uongozi wa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Madarakani.

Kupitia link hapo chini👇🏿

Ana nini cha kutuambia huyo mvuta bangi!!?? Kipindi kile enzi za school mzee wake alikuwa anamtia bakora assembly kwa ujeuri wake..
 
MUDA HUU

Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba Yupo Azam UTV akieleza Makubwa Yamefanyika Wizara ya Nishati Mwaka Mmoja wa uongozi wa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Madarakani.

Kupitia link hapo chini[emoji1541]

Mafanikio wala hana haja ya kutumia nguvu nyingi kuyaelezea
 
😀😀😀😀😀😀😀😀 Enewei, hii nchi inachezewa sana
 
Ccm kupiga mdomo tu wanajua waulize maendeleo sasa utasikia “ serikali inampango mkakati hadi 2055 iwe hivi hivi”
 
Au watajisifia vitu vya kawaida, kama kujenga zahanati au kusambaza umeme.
Ila ukichunguza ubora sasa wa hivi vitu ni bure kabisa.
 
MUDA HUU

Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba Yupo Azam UTV akieleza Makubwa Yamefanyika Wizara ya Nishati Mwaka Mmoja wa uongozi wa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Madarakani.

Kupitia link hapo chini👇🏿

Hivi nzi wetu wa taifa (CCM) ina ajenda ya kumsafisha rais?
 
Back
Top Bottom