MUDA HUU
Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba Yupo Azam UTV akieleza Makubwa Yamefanyika Wizara ya Nishati Mwaka Mmoja wa uongozi wa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Madarakani.
Kupitia link hapo chini[emoji1541]
https://www.facebook.com/
Yakiwa hayapo sa aelezee nn ,royal familyMafanikio wala hana haja ya kutumia nguvu nyingi kuyaelezea
Au watajisifia vitu vya kawaida, kama kujenga zahanati au kusambaza umeme.Ccm kupiga mdomo tu wanajua waulize maendeleo sasa utasikia โ serikali inampango mkakati hadi 2055 iwe hivi hiviโ
Au watajisifia vitu vya kawaida, kama kujenga zahanati au kusambaza umeme.
Ila ukichunguza ubora sasa wa hivi vitu ni bure kabisa.
Hivi nzi wetu wa taifa (CCM) ina ajenda ya kumsafisha rais?MUDA HUU
Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba Yupo Azam UTV akieleza Makubwa Yamefanyika Wizara ya Nishati Mwaka Mmoja wa uongozi wa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Madarakani.
Kupitia link hapo chini๐๐ฟ
https://www.facebook.com/