Waziri Makamba ana "traits" za kuwa Rais baada ya Samia. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni

Yani kati ya ulichogundua ni kutambua kuwa mwigulu anamajivuno ya kike sana..
Ila kuhusu Makambala mfuatilie tena na usianzie juu ya maisha yake.
Anza tokea mwanzo akiwa anasoma forest secondary school mpaka kilichompeleka Galanos secondary shool.
 
January Nafasi inayomfit ni Nafasi ya Shaka ya Uenezi au Nafasi ya Msigwa ya Usemaji wa Serikali.
Kuwaza huyu Jamaa kuwa President ni Kuwatukana wa Tanzania wote
 
Mimi sio waziri lakini nina faa kuliko huyo Makamba kama mnabisha mnijaribu. Makamba anafaa kuwa rais wa Vodacom
 
Yani kati ya ulichogundua ni kutambua kuwa mwigulu anamajivuno ya kike sana..
Ila kuhusu Makambala mfuatilie tena na usianzie juu ya maisha yake.
Anza tokea mwanzo akiwa anasoma forest secondary school mpaka kilichompeleka Galanos secondary shool.
Mkuu, uliyemwambia afuatilie hawezi kujua kitu, tupe dodoso kidogo ili tutunze kumbukukumbu vichwani mwetu.
 

We Makamba acha utabiri wako wa kijinga, hufai hata kuwa mpishi wa Mama Kurusumu wa Mbagala.
 
Wizi umesharudi
Waziri huwa huwa haibi hela bali rais ndie anaetuma kwa waziri kuwa katika bajeti ya wizara yako 10% naihitaji na waziri anatekeleza majukumu yake kwa kuiba hizo hela na ndio maana hadi leo hakuna mwizi aliyewahi kukamatwa serikalini na akafungwa otherwise kutokee misunderstanding ya muda na baadae mtu anarudi tena ofisini.
 
Ni sifa njema kufananishwa na January,ni dhahiri ana uwezo ambao wewe na unadhani anao mnahofia.

Ndio maana hamna hoja mna vioja vya matusi.
Sijatukana hapo, huwa natukana mtu akinitukana. Simple and straightforward.
Back to the topic, kwa mtu mwenye kujielewa kufananishwa na J Makamba ni dharau, hana uwezo wala weledi. Yuko pale kama 'chawa' tu kufanikisha 'dubious deals' zifanywazo na mabosi wake, nothing more nothing less.
 
Anakera kingese na post zake za tumsifu
Huyu jamaa na wana kwaya wenzake wa Tumsifu Choir nlishawalima Ignore/block kitambo sana...
Bila kuwa quote km hivi hua sijui nn kinaendelea...I got too bored na Mapambio yao, then i relialized itakua wapo kwenye payroll so sina namna nikuwalima tu block, otherwise they wont stop...
Nikikutana na threads za Mlengo huo hua nafanya kubonyeza kitufe, si subiri moderators.
 
Kuwa Rais wa JMT sio kitu rahisi kama kupigapiga porojo kwenye podiums.

January kashindwa kumanage Wizara moja tu ila mnamuwazia Urais? Hafai. Kama ni “traits” basi anazo za kifisadi na za upigaji.
 
Kumbe naweza kumlima bloki ndezi huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…