fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,270
Kwamba anafaa kuwa rais,hiyo sijui lakini ni kweli huyo jamaa yuko smart kabisa na hakuna mtu humu anaweza kumbabaishaBila kupoteza muda.
Ni hivi ukiangalia Baraza lote la Mawaziri la sasa mwanasiasa pekee mwenye ushawishi na mwenye traits za kuwa Rais ni January Makamba.
He seems to be well informed,anajiamiji,interactive na kichwani ni smart na anajua kuongea na kupangilia mambo.Kiufupi yuko smart na ana exposure ya kutosha.
Sio mtu wa mihemko wala kuendeshwa kirahisi rahisi na pressure za kisiasa.
Nimekuja kufuatilia kwa nini watu wanamshambulia nimegundua ni vile anaonekana ni tishio kwa walio wengi kwenye Urais baada ya Samia.
Jana alikuwa live kwenye kipindi cha mwaka mmja wa Rais akielezea mafanikio, changamoto na dira ya Wizara ya Nishati.
Maswali yote yanayoulizwaga humu jukwaani Kuhusu kukatika kwa umeme,sijui kuchelewesha Bwawa and such nonsense ameyajibu kwa weledi na evidences kabisa ndio maana hadi saizi huwezi akina Msukuma na genge lake wakiwa na hoja.
Swala la kwa nini awamu iliyopita umeme ulikuwa haukatiki uje kukatika sasa amelijibu vyema kabisa tena akaja na Takwimu na history ya masuala ya umeme.
Kwa jinsi nilivyomtathmini ni wazi anafaa kumrithi Samia,sijaona mtu mwingine yeyote wa kumzidi labda kwa mbali Mwigulu anaweza kumsogelea but Mwigulu ana ego na majivuno Sana.
Ngoja tuone mda utasema.
View attachment 2163736
Smart kwa limitations zenu sio kwa watanzania wote.Kwamba anafaa kuwa rais,hiyo sijui lakini ni kweli huyo jamaa yuko smart kabisa na hakuna mtu humu anaweza kumbabaisha
Rais wa simbaKuwa rais wa kitu gani?
Mnampamba kama kawaida yenu, tueleze smartness yake iko katika vitu gani, amefanya nini, amefanikisha nini. Acheni ushamba wa kusifia kila takatakaKwamba anafaa kuwa rais,hiyo sijui lakini ni kweli huyo jamaa yuko smart kabisa na hakuna mtu humu anaweza kumbabaisha
🤣🤣🤣 Nani sasa,mimi sio Makamba mkuu ila nimevutiwa nae Sana.
Kama kuna Waziri unamfahamu yuko good kumzidi na wewe unaweza kumtaja your favourite.
Bila kupoteza muda.
Ni hivi ukiangalia Baraza lote la Mawaziri la sasa mwanasiasa pekee mwenye ushawishi na mwenye traits za kuwa Rais ni January Makamba.
He seems to be well informed,anajiamiji,interactive na kichwani ni smart na anajua kuongea na kupangilia mambo.Kiufupi yuko smart na ana exposure ya kutosha.
Sio mtu wa mihemko wala kuendeshwa kirahisi rahisi na pressure za kisiasa.
Nimekuja kufuatilia kwa nini watu wanamshambulia nimegundua ni vile anaonekana ni tishio kwa walio wengi kwenye Urais baada ya Samia.
Jana alikuwa live kwenye kipindi cha mwaka mmja wa Rais akielezea mafanikio, changamoto na dira ya Wizara ya Nishati.
Maswali yote yanayoulizwaga humu jukwaani Kuhusu kukatika kwa umeme,sijui kuchelewesha Bwawa and such nonsense ameyajibu kwa weledi na evidences kabisa ndio maana hadi saizi huwezi akina Msukuma na genge lake wakiwa na hoja.
Swala la kwa nini awamu iliyopita umeme ulikuwa haukatiki uje kukatika sasa amelijibu vyema kabisa tena akaja na Takwimu na history ya masuala ya umeme.
Kwa jinsi nilivyomtathmini ni wazi anafaa kumrithi Samia,sijaona mtu mwingine yeyote wa kumzidi labda kwa mbali Mwigulu anaweza kumsogelea but Mwigulu ana ego na majivuno Sana.
Ngoja tuone mda utasema.
Kama atashindanishwa bila kuiba kura anaweza.Lakin tukiwa na katiba nzuri na kila kijana wa kitanzania mwenye sifa akashiriki ,atakuwa wa mwisho. Sifa yake kuu ni kuiba kura tu Kama alivyoiba mitihani.Tuwe na uwezo wa kufikiri nje ya box.Tusiwe tunafikiri kiwango cha chini Kama hivyo.Bila kupoteza muda.
Ni hivi ukiangalia Baraza lote la Mawaziri la sasa mwanasiasa pekee mwenye ushawishi na mwenye traits za kuwa Rais ni January Makamba.
He seems to be well informed,anajiamiji,interactive na kichwani ni smart na anajua kuongea na kupangilia mambo.Kiufupi yuko smart na ana exposure ya kutosha.
Sio mtu wa mihemko wala kuendeshwa kirahisi rahisi na pressure za kisiasa.
Nimekuja kufuatilia kwa nini watu wanamshambulia nimegundua ni vile anaonekana ni tishio kwa walio wengi kwenye Urais baada ya Samia.
Jana alikuwa live kwenye kipindi cha mwaka mmja wa Rais akielezea mafanikio, changamoto na dira ya Wizara ya Nishati.
Maswali yote yanayoulizwaga humu jukwaani Kuhusu kukatika kwa umeme,sijui kuchelewesha Bwawa and such nonsense ameyajibu kwa weledi na evidences kabisa ndio maana hadi saizi huwezi akina Msukuma na genge lake wakiwa na hoja.
Swala la kwa nini awamu iliyopita umeme ulikuwa haukatiki uje kukatika sasa amelijibu vyema kabisa tena akaja na Takwimu na history ya masuala ya umeme.
Kwa jinsi nilivyomtathmini ni wazi anafaa kumrithi Samia,sijaona mtu mwingine yeyote wa kumzidi labda kwa mbali Mwigulu anaweza kumsogelea but Mwigulu ana ego na majivuno Sana.
Ngoja tuone mda utasema.
Hii ni Kazi ya CCM,yeye alipewa jukumu na chama kwa manufaa ya chama Chao na mgombea wao Mwendazake.Kama atashindanishwa bila kuiba kura anaweza.Lakin tukiwa na katiba nzuri na kila kijana wa kitanzania mwenye sifa akashiriki ,atakuwa wa mwisho. Sifa yake kuu ni kuiba kura tu Kama alivyoiba mitihani.Tuwe na uwezo wa kufikiri nje ya box.Tusiwe tunafikiri kiwango cha chini Kama hivyo.
Damu ile bado inawalilia na haitakaa iwaache asilani...Kuwa Msoga team kuna tatizo? Timu inayotakiwa ni ipi? Acha kuhemka kama unabalehe,njoo kwa hoja.
Rais wa wezi wa mitihani.Kuwa rais wa kitu gani?
Abadili dini kwanza.Bila kupoteza muda.
Ni hivi ukiangalia Baraza lote la Mawaziri la sasa mwanasiasa pekee mwenye ushawishi na mwenye traits za kuwa Rais ni January Makamba.
He seems to be well informed,anajiamiji,interactive na kichwani ni smart na anajua kuongea na kupangilia mambo.Kiufupi yuko smart na ana exposure ya kutosha.
Sio mtu wa mihemko wala kuendeshwa kirahisi rahisi na pressure za kisiasa.
Nimekuja kufuatilia kwa nini watu wanamshambulia nimegundua ni vile anaonekana ni tishio kwa walio wengi kwenye Urais baada ya Samia.
Jana alikuwa live kwenye kipindi cha mwaka mmja wa Rais akielezea mafanikio, changamoto na dira ya Wizara ya Nishati.
Maswali yote yanayoulizwaga humu jukwaani Kuhusu kukatika kwa umeme,sijui kuchelewesha Bwawa and such nonsense ameyajibu kwa weledi na evidences kabisa ndio maana hadi saizi huwezi akina Msukuma na genge lake wakiwa na hoja.
Swala la kwa nini awamu iliyopita umeme ulikuwa haukatiki uje kukatika sasa amelijibu vyema kabisa tena akaja na Takwimu na history ya masuala ya umeme.
Kwa jinsi nilivyomtathmini ni wazi anafaa kumrithi Samia,sijaona mtu mwingine yeyote wa kumzidi labda kwa mbali Mwigulu anaweza kumsogelea but Mwigulu ana ego na majivuno Sana.
Ngoja tuone mda utasema.
Inawezekana akawa ni January mwenyewe ameamua kujipigia debe kwa namna ya 'tisa'.Sijasoma Bandiko lako lakini mi nahisi wewe ni CHAWA wa huyo unayempigia promo.
Na ku-hack(kudukua) mitandao.Hapa ndio umeonesha dhahiri uCHAWA!! Watu kuhoji mradi wao wewe unaona ni nonsense!!
Makamba anachoweza ni kuadmin akaunti za twitter za Magufuli na Samia, mengine amefeli.
Labda Rais wa WCBBila kupoteza muda.
Ni hivi ukiangalia Baraza lote la Mawaziri la sasa mwanasiasa pekee mwenye ushawishi na mwenye traits za kuwa Rais ni January Makamba.
He seems to be well informed,anajiamiji,interactive na kichwani ni smart na anajua kuongea na kupangilia mambo.Kiufupi yuko smart na ana exposure ya kutosha.
Sio mtu wa mihemko wala kuendeshwa kirahisi rahisi na pressure za kisiasa.
Nimekuja kufuatilia kwa nini watu wanamshambulia nimegundua ni vile anaonekana ni tishio kwa walio wengi kwenye Urais baada ya Samia.
Jana alikuwa live kwenye kipindi cha mwaka mmja wa Rais akielezea mafanikio, changamoto na dira ya Wizara ya Nishati.
Maswali yote yanayoulizwaga humu jukwaani Kuhusu kukatika kwa umeme,sijui kuchelewesha Bwawa and such nonsense ameyajibu kwa weledi na evidences kabisa ndio maana hadi saizi huwezi akina Msukuma na genge lake wakiwa na hoja.
Swala la kwa nini awamu iliyopita umeme ulikuwa haukatiki uje kukatika sasa amelijibu vyema kabisa tena akaja na Takwimu na history ya masuala ya umeme.
Kwa jinsi nilivyomtathmini ni wazi anafaa kumrithi Samia,sijaona mtu mwingine yeyote wa kumzidi labda kwa mbali Mwigulu anaweza kumsogelea but Mwigulu ana ego na majivuno Sana.
Ngoja tuone mda utasema.
Chini ya CCM, chochote kinawezekana.Bila kupoteza muda.

Ukiweka kando huo utaratibu 'mbovu' wa CCM wa kudhani utaratibu wa kupokezana dini ni aina flani ya 'fairplay' bado Makamba ni rubbish(takataka) na yuko pale alipo si kwa weledi, uwezo au kwamba amepigana vikumbo vya kisiasa bali yuko pale kwa mbeleko.Alaa kumbe Urais ni kugawana kwa mtindo wa Dini? Rubbish.
Mwenye sifa ni nani unaezani anamzidi Makamba JR.