Waziri Makamba avunja Kitengo cha Habari na Mawasiliano TANESCO kwa tuhuma za kushindwa kulisemea Shirika

Waziri Makamba avunja Kitengo cha Habari na Mawasiliano TANESCO kwa tuhuma za kushindwa kulisemea Shirika

Waziri Makamba vunja bodi ya EWURA, wanatangaza ajira hewa . Ajira zilizotangazwa mwaka 2021 hadi leo ewura wamepiga kimya.​

 
Tatizo si kitengo cha porojo, tunataka umeme usikatike.
Period.
Makamba kama kashindwa kazi apishe wanaoweza.
Kuvunja kitengo cha porojo is a very poor way of solving Tsnesco's problems.
We expected better from Makamba.
Did you expect anything worthwhile from him? It's sad to inform you that you did place your dear expectations on the wrong individual.
 
Kitengo cha mawasiliano hakiongozwi na Badra Masoud alishaondoka kwa sasa kuna mdada anaitwa Johari rekebisha thread yako
 
Na upara wake kama ugali mwekundu wa moto,ukifanya vizuri tanesco haina haja ya mtu kuitetea itajitetea yenyewe ,bwege wewe.
 
TATIZO LA TANESCO NI MAKAMBA MWENYEWE NA ANATAKIWA AJIFUNGE KAMBA MWENYEWE.

ASITAFUTE WA KUMUANGUSHIA JUMBA BOVU.

KITENGO CHA HABARI WANGESEMA NINI KILA SIKU WAKATI HAKUNA SABABU ZA KUSEMA?

MWISHO WA UONGO UMEKARIBIA.
 
Wewe bwana Kipara Huyu afisa uhusiano ndo anaekata kata umemekila baada ya dakika kadhaa?

Au hicho kitengo unataka kumpa demu wako?
 
Hicho kitengo cha habari na mawasiliano wa outsource kwenda CCM kitengo cha propaganda ili nyeupe iitwe nyeusi
Makamba anatu dissapoint.
Kashindwa kazi na ni bora aeme mwenyewe, kuwasukumizia zigo kitengo cha porojo ni dalili ya kushindwa kazi.
 
Kipara hapo nayeye ameona kafanya kazi..sawa umemtumbua..natumaini umeme hautakatika..mana huyo ndio alikua ndio chanzo cha umeme kukatika.

Yani msoga pro..mafisadi hii nchi mmebakiza kuipiga mnada tu..ndugai kaonya mkaamua mumsagie kunguni.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeme ukatike alafu msemaji atetee VP shirika lake.
Makamba yaweza kuwa yuko sahihi umeme unapokatika kuna sababu lazima uwajulishe wananchi ukikaa kimya ni uzembe au hata kabla haujakatika toa taarifa, mteja anapiga simu tenesco hata haipokelewi sasa si uduwanzi huo??
 
Waziri wa Nishati Mh Makamba amevunja kitengo cha habari na mawasiliano Tanesco akikituhumu kimeshindwa kulisemea shirika na kulitetea shirika kwenye nyakati ambazo kitengo na watu wake kimetakiwa kufanya hivyo!

Ikumbukwe kitengo cha habari na mawasiliano kinaongozwa na mwana dada Badra Masoud kwa misingi hiyo amekali kuti kavu ...

Maswali ya kujiuliza...
Ni kweli kitengo hichi ndicho tatizo kwenye shirika?
Ni kweli wameshindwa kuitetea tanesco?
View attachment 2095460
TAA Nesko ni fuko la chawa HALIBEBEKI
 
Back
Top Bottom