Waziri Makamba avunja Kitengo cha Habari na Mawasiliano TANESCO kwa tuhuma za kushindwa kulisemea Shirika

Kwa erratic nature ya flow ya umemem kwa sasa nchini, hakuna kitengo chochote cha habari ambacho kingeweza kuhabarisha umma adequately. Umeme unakatika saa nne kamili , unarudi saa nne na dakika saba, unakatika tena baada ya dakika 12 na unarudi ndani ya dakika 3. Sijui wewe kama mtu wa kitengo cha habari unasemaje kuhusu mtiririko huu wa umeme?
 
TATIZO LA TANESCO NI MAKAMBA MWENYEWE NA ANATAKIWA AJIFUNGE KAMBA MWENYEWE.

ASITAFUTE WA KUMUANGUSHIA JUMBA BOVU.

KITENGO CHA HABARI WANGESEMA NINI KILA SIKU WAKATI HAKUNA SABABU ZA KUSEMA?

MWISHO WA UONGO UMEKARIBIA.
Nchi inasimamiwa na kuendeshwa na Rais mstaafu, what do you expect?
 
Huyu toka enzi waziri wa mazingira alikua na blabla nyingi kuhusu mifuko ya plasti sasa hayo hayo ndo yatazugukia tanesco
 
Waziri wa nishati, January Makamba ameagiza kuvunjwa kwa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kwa kushindwa kulisemea shirika hilo

Makamba ametoa agizo hilo leo Jumanne Januari 25, 2022 wakati alipotembelea kituo cha usambazaji umeme kilichopo Njiro jijini Arusha ambapo amesema amevunja idara hiyo kutokana na kushindwa kutimiza majukumu yao ikiwemo kulisemea shirika hilo pamoja na kutoa taarifa kwa wateja wao.

"Sisi kama Serikali hatufurahishwi na malalamiko ya wananchi kuhusu kukatika kwa umeme pamoja na upungufu wa taarifa zitolewazo kwa wateja,"amesema Makamba.

Makamba amesema haiwezekani kumgeuza Waziri wa Nishati kuwa msemaji wa Shirika hilo kila inapotokea changamoto.

Mwananchi
 
Hii habari it's just a distruction...too bad hii habari inapewa uzito mkubwa kuliko habari ya mkataba wa gas consultation na kampuni ya Uingereza uliosainiwa jana.
Wanatupa mambo madogo ya kutukeep bze kujadili ili tunaache makubwa yatupite.
Jana ht aliepewa kazi ya mikataba kabudi hakuwepo kwenye utiaji saini.
 
Taarifa ni muhimu
Kuna kipindi tulikuwa tunapata sms kuwa tarehe fulani saa 3 asubuhi hadi saa 11 jioni hakutakuwa na umeme, kuna matengenezo
Siku hizi taarifa wanatoa Twitter
 
Hasemi Arusha alifata nn anakimbilia kwenye wasemaji
 
Taarifa ni muhimu
Kuna kipindi tulikuwa tunapata sms kuwa tarehe fulani saa 3 asubuhi hadi saa 11 jioni hakutakuwa na umeme, kuna matengenezo
Siku hizi taarifa wanatoa Twitter
labda kule twita kuna wadau wao wa nguvu, sisi wengine wakina kabwela kajamba nani, taarifa wanaona hazina umuhimu kwetu.
 
Kunja kitengo cha habari/mawasiliano pekeake sijaona/si suruhisho sahihi
Kwasababu wanaokata umeme ni wengne huenda hawatoi taarfa katka kitengo cha habar

Ilitakiwa kutatuliwa tatizo la kukatika kwa umeme hapa mkurugenz mtendaji wa tanesco wa manispaa husika alitakiwa kuwajibishwa

Pia waziri kurizishwa na utolewaji wa taarfa za kukatika kwa umeme sio sahihi
Ni sawa na kuacha tatizo la kukatika umeme liendelee ni sawa na kuhalalisha ukatikaji wa umeme


Mkurugenz wa umeme awajibishwe kwenye hili la umeme
 
Kwa hiyo Badra Masoud anahamishiwa kwenye kubeba mistimu ya umeme sio
 
Wapatie watu vifaa mkuu sio unapanga kwa maneno tu., sasa umeme unakatika mara kwa mara unategemea ni maneno mdomoni tu, mwaga nguzi za umeme kila kata kila kijiji mamashine tuone kama kweli mnataka mitano tena
 
Badra masoud wa wapi wewe, si kila kitu u akurupuka tu. Google hapo afisa habari wa tanesco
Si umtaje tu maana nimesoma mwananchi wamemtaja huyo dada, Kama unamjua unasema tu sio iwe ishu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…