Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Makamba hajitambui anachojua ni kuandaa mipango ya upigaji 10%Huenda Dk James Mataragio ambaye ni mkurugenzi mkuu wa TPDC akafutwa kazi kwa kile kilichosemwa na Makamba ni kuupotosha umma.
James,hivi karibuni alinukuliwa akisema endapo meli ya mafuta isipotia nanga ndani ya wiki mbili Nchi itashuhudia uhaba mkubwa wa mafuta jambo ambalo limeonekana kumkwaza Makamba.