Waziri Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini, amtaka Mkurugenzi wa TPDC akajieleze kabla hawajachukua hatua

Waziri Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini, amtaka Mkurugenzi wa TPDC akajieleze kabla hawajachukua hatua

Dk James Mataragio anajua anachokisema na anachomaanisha. Makamba Yusuph aliua CCM, sasa tarajieni Makamba January atakako ipeleka wizara ya nishati.
inashangaza politishani anabishana na mtaalamu tena mkurugenzi ambaye amka asubuhi lala usiku ndio jambo lake hilo, wenye kufikiria vizuri wameshajua nani anasema ukweli!!!
 
Kampuni ya simu ya Halotel ni ya January Makamba na JK . Kampuni hii hailipi kodi na imewekeza minara yao kwenye maeneo ya taasisi za serikalu mfano shule za serikali, bure na hawalipi kodi ya pango popote waliopoweka minara. Wizi mkubwa huu
Weka uthibitisho kuwa ile ni Kampuni ya Makamba!

Acha maneno kijana! Hatutaki maneno matupu tupe uthibitisho
 
Tuliza wenge, huna haja ya kuambiwa kile ni kinyesi wakati harufu unaisikia! Unang’ang’ania ni makokwa ya embe!
Kwa iyo niamini ujinga wenu mnaoleta humu kwa chuki zenu tu bila uthibitisho?

Wahuni tu nyie! Makamba yupo yupo sana, atatoka anavyopenda Mungu sio kwa chuki na uzandiki wenu
 
Miaka ya 70 na 80 wakati shirika la TPDC likihodhi uagizaji mafuta nchini uhaba wa mafuta ulikuwa mkubwa sana nchini baada ya serikali ya awamu ya 3 kufanya hii biashara kuwa huria mafuta yalipatikana kwa wingi na bei nafuu. Makampuni kanda ya ziwa yaliagiza mafuta kupitia Kenya kwa bei nzuri sana.
Waziri Makamba kwa kipindi kifupi toka awe Waziri wa Nishati anajaribu kuleta mabadiliko ambayo yanaweza kuleta athari mbaya kwenye sekta ya mafuta kwani serikali ilishajitoa kwenye masuala ya biashara ni muhimu kuachia makampuni makubwa kama Total, Shell etc yaagize mafuta na serikali ikusanye kodi. Serikali ya Kenya ilijaribu lakini walishindwa. Mbali na hayo hii biashara ya mafuta serikali ikifanya tutegemee ufisadi mkubwa huko mbele katika kuthibiti utuzaji na ukusanyaji wa kodi kwenye mafuta.
Serikali ichukue tahadhari.
 
Nasubiri uthibitisho wako juu ya umiliki wa January Makamba kwenye kampuni ya Halotell! Naona unazidi kuleta maneno Matupu tu
 
Ki ujumla hata kama ni kweli panaweza pakawa na up upungufu wa mafuta, mkurugenzi hakupaswa kutamka maneno hayo mbele ya umma. Hii ni kuleta taharuki isiyo kuwa na sababu. Upo uwezekano shida ikajitokeza muda sio mrefu, watu watapanick na kuanza kujilimbikizia hata wasivyo hitaji.
 
Ila lazma atoke tu
Kwa iyo kumbe mission yenu ni kumtoa January Wizara ya Nishati tu? Kwa iyo kumbe hamna Logic yeyote na shida yenu ni January tu? Basi hapo tumewaelewa!

Ila ushauri wangu kwenu!

Tumieni njia sahihi sio kuleta uzushi na uzandiki wenu humu! Chuki zenu hazitawafikisha popote
 
Kwa iyo tuamini uzushi wako unaoleta hapa?

Weka mgawanyo wa hisia kwa Halotell tuone Kama makamba yupo!!

Hizi ni siasa za chuki na kuchagua na tu ambazo ziko Tanzania miaka nenda rudi! Hakuna uthibitisho wowote
Weka uthibitisho wa magufuli kukwapua 1.5T ionekane imetoka BoT kwenda kwenye account yake binafsi!
 
Let’s uthibitisho! Hizo unazoleta zote ni stori ambazo hata mimi naweza kuzitunga
 
Kwa iyo kumbe mission yenu ni kumtoa January Wizara ya Nishati tu? Kwa iyo kumbe hamna Logic yeyote na shida yenu ni January tu? Basi hapo tumewaelewa!

Ila ushauri wangu kwenu!

Tumieni njia sahihi sio kuleta uzushi na uzandiki wenu humu! Chuki zenu hazitawafikisha popote
Njia sahihi zipi mkuu au unataka nikatupwe kwenye kiroba ununio? Ndio utaskia furaha😅
 
Weka uthibitisho wa magufuli kukwapua 1.5T ionekane imetoka BoT kwenda kwenye account yake binafsi!
Hili umetoa wapi tena? Nani kasema hivi?

Mie siongeagi vitu bila uthibitisho we ndezi! Mie ndo maana halisi ya Jamii Forum Home of Great Thinkers
 
Niombe radhi kwa kuniita kabila lisilo langu nakushauri kama huwajui watu wachana nao

Screenshot_20211112-120241.png
 
Back
Top Bottom