Waziri Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini, amtaka Mkurugenzi wa TPDC akajieleze kabla hawajachukua hatua

Makamba hajitambui anachojua ni kuandaa mipango ya upigaji 10%
 
Hizi ni siasa za Sukuma Gang dhidi ya Makamba! Hakuna jipya!

Kuna mpuuzi kaanzisha uzi eti Makamba kasema Bungeni Bwawa la Nyerere halitajazwa maji wakati Makamba yuko Misri ya Mama Samia. Sasa sijui Misri kuna Bunge la Tanzania?
 
 
Atumie akili gani wakati ni mwizi mkubwa.katika majanga ya kitaifa kuwahi kutokea basi ni huyu Makamba wako
 
Kwa iyo tuamini uzushi wako unaoleta hapa?

Weka mgawanyo wa hisia kwa Halotell tuone Kama makamba yupo!!

Hizi ni siasa za chuki na kuchagua na tu ambazo ziko Tanzania miaka nenda rudi! Hakuna uthibitisho wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…