Johnson Fundi
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 1,386
- 1,207
inashangaza politishani anabishana na mtaalamu tena mkurugenzi ambaye amka asubuhi lala usiku ndio jambo lake hilo, wenye kufikiria vizuri wameshajua nani anasema ukweli!!!Dk James Mataragio anajua anachokisema na anachomaanisha. Makamba Yusuph aliua CCM, sasa tarajieni Makamba January atakako ipeleka wizara ya nishati.
January kapiga kwenye nini? Weka uthibitisho
Tuliza wenge, huna haja ya kuambiwa kile ni kinyesi wakati harufu unaisikia! Unang’ang’ania ni makokwa ya embe!January kapiga kwenye nini? Weka uthibitisho
Nyumbu ni babako na mamakoHahahaha weka uthibisho acha maneno nyumbu wewe
Weka uthibitisho kuwa ile ni Kampuni ya Makamba!Kampuni ya simu ya Halotel ni ya January Makamba na JK . Kampuni hii hailipi kodi na imewekeza minara yao kwenye maeneo ya taasisi za serikalu mfano shule za serikali, bure na hawalipi kodi ya pango popote waliopoweka minara. Wizi mkubwa huu
Nyumbu ni babako na mamako
Kwa iyo niamini ujinga wenu mnaoleta humu kwa chuki zenu tu bila uthibitisho?Tuliza wenge, huna haja ya kuambiwa kile ni kinyesi wakati harufu unaisikia! Unang’ang’ania ni makokwa ya embe!
Ila lazma atoke tuKwa iyo niamini ujinga wenu mnaoleta humu kwa chuki zenu tu bila uthibitisho?
Wahuni tu nyie! Makamba yupo yupo sana, atatoka anavyopenda Mungu sio kwa chuki na uzandiki wenu
Nasubiri uthibitisho wako juu ya umiliki wa January Makamba kwenye kampuni ya Halotell! Naona unazidi kuleta maneno Matupu tuHalotel yasababisha Wizara ya Mawasiliano kuunganishwa na Makamba kuikosa
Wakuu habari. Hii imetoka chini ya kapeti kwamba kigogo mkubwa mstaafu ndiye aliyesababisha wizara ya uchukuzi, ujenzi na mawasiliano kuunganishwa na kuwa wizara mojaa. Sababu kubwa ni kigogo huyo mstaafu ambaye inaelezwa kuwa alikuwa kapanga safu yake ya kupaisha biashara zake kwa urahisi...www.jamiiforums.com
James ni mkweliJames kwa uzalendo wake na kwa u mimi na upigaji wa January kamwe hawezi kudumu pale.
Kwa iyo kumbe mission yenu ni kumtoa January Wizara ya Nishati tu? Kwa iyo kumbe hamna Logic yeyote na shida yenu ni January tu? Basi hapo tumewaelewa!Ila lazma atoke tu
January kapiga kwenye nini? Weka uthibitisho
Weka uthibitisho wa magufuli kukwapua 1.5T ionekane imetoka BoT kwenda kwenye account yake binafsi!Kwa iyo tuamini uzushi wako unaoleta hapa?
Weka mgawanyo wa hisia kwa Halotell tuone Kama makamba yupo!!
Hizi ni siasa za chuki na kuchagua na tu ambazo ziko Tanzania miaka nenda rudi! Hakuna uthibitisho wowote
Let’s uthibitisho! Hizo unazoleta zote ni stori ambazo hata mimi naweza kuzitungaWaziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi
Katika hali isiyo ya kawaida, Mwanadada anayejulikana katika Mitandao ya Kijamii, Mange Kimambi, amewachana January Makamba na Mwamvita katika Instagram page yake kwa kuweka sauti zilizorekodiwa wakipanga deal na mfanyabiashara wa kiitaliano ambaye amelizwa dola milion 100 ili apewe deal la...www.jamiiforums.com
Njia sahihi zipi mkuu au unataka nikatupwe kwenye kiroba ununio? Ndio utaskia furaha😅Kwa iyo kumbe mission yenu ni kumtoa January Wizara ya Nishati tu? Kwa iyo kumbe hamna Logic yeyote na shida yenu ni January tu? Basi hapo tumewaelewa!
Ila ushauri wangu kwenu!
Tumieni njia sahihi sio kuleta uzushi na uzandiki wenu humu! Chuki zenu hazitawafikisha popote
Hili umetoa wapi tena? Nani kasema hivi?Weka uthibitisho wa magufuli kukwapua 1.5T ionekane imetoka BoT kwenda kwenye account yake binafsi!
Niombe radhi kwa kuniita kabila lisilo langu nakushauri kama huwajui watu wachana nao