Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Hili linaweza kuwa na ukweli maana naona minara mingi iko kwenye maeneo ya taasisi kweliKampuni ya simu ya Halotel ni ya January Makamba na JK . Kampuni hii hailipi kodi na imewekeza minara yao kwenye maeneo ya taasisi za serikalu mfano shule za serikali, bure na hawalipi kodi ya pango popote waliopoweka minara. Wizi mkubwa huu