Waziri Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini, amtaka Mkurugenzi wa TPDC akajieleze kabla hawajachukua hatua

Waziri Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini, amtaka Mkurugenzi wa TPDC akajieleze kabla hawajachukua hatua

Kampuni ya simu ya Halotel ni ya January Makamba na JK . Kampuni hii hailipi kodi na imewekeza minara yao kwenye maeneo ya taasisi za serikalu mfano shule za serikali, bure na hawalipi kodi ya pango popote waliopoweka minara. Wizi mkubwa huu
Hili linaweza kuwa na ukweli maana naona minara mingi iko kwenye maeneo ya taasisi kweli
 
Huyo mkurugenzi wa TPDC naye ni tatizo, huwezi kutabiri kitu ambacho hakija wahi kutokea sababu meli ipo njiani inakuja, kiukweli makamba yupo sahihi jamaa ameleta taharuki kubwa kuhusu mafuta na hata kama ikitokea jambo kama analosema jitahada za haraka zitachukuliwa za muda mfupi sababu kenya huwa wanaingiza mafuta ya kutosha sana kupitia bandari yao ya mombasa tungeweza kuchukua huko huku tuna solve tatizo letu.
 
Wenyewe Wana msemo wao,"MAMBO HAYA YALIKUWEPO ILA HAKUKUA NA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI".

Huyo mkurugenzi si muda watamuita ni SUKUMA GANG.
 
Wenyewe Wana msemo wao,"MAMBO HAYA YALIKUWEPO ILA HAKUKUA NA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI".

Huyo mkurugenzi si muda watamuita ni SUKUMA GANG.
Ahahaaaa,nyi jamaa daaah.Kipara ngoto alivyosema systems za umeme hazijafanyiwa service KWA miaka 5 na ndo sababu umeme ulikua haukatiki hovyo na zilikua zinakuja kucollapse kwa mara moja.Alikua mganga wa utajiri siyo!
 
Hili umetoa wapi tena? Nani kasema hivi?

Mie siongeagi vitu bila uthibitisho we ndezi! Mie ndo maana halisi ya Jamii Forum Home of Great Thinkers
Yaani wewe ni great thinker [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Gili linaweza kuwa na ukweli maana naona minara mingi iko kwenye maeneo ya taasisi kweli
Walitwambia hii kampuni ni ya wa vietnamu, hii nchi ina upigaji mwingi sana.......wanatumia advantage ya madaraka kufanya dili zao.
 
wafuasi wa Chadema kama kawaida yao na tabia zao za kigaidi za kutaka nchi iwe ktk taharuki na shida,
muda wote wao wanataka habari mbaya ziikumbe Tanzania.
kweli nimeamini wafuasi wa mboe wana chembe chembe za kihalifu.

ukiwafuatilia wafuasi wa mboe utagundua mara zote kunapokuwa na tatizo kama nchi basi huwa wao wana shangilia sana.
hawa watu ni hatari sana, mwaka 2025 hawafai hata kupata kiti kimoja cha ubunge.
Kumbe hata Hamza alikuwa ni mwana cdm?
 
Huyu makamba kaanza kutengeneza vitisho kwa wataalamu, tukiweka hapa CV yake na ile ya mataragio utaelewa tu ni nani anayeongea jambo lenye mantiki, Nyerere aliharibu sana hii nchi kwa kuwapa nguvu wanasiasa.......mwanasiasa mwenye elimu ya kuunga unga anaweza kukurupuka tu na kuanza kuongea maswala yanayotakiwa kutolewa ufafanuzi na wataalamu.....​
Ikibidi mtuwekee na muendelezo wa elimu ya Makamba
 
Huyo mkurugenzi wa TPDC naye ni tatizo, huwezi kutabiri kitu ambacho hakija wahi kutokea sababu meli ipo njiani inakuja, kiukweli makamba yupo sahihi jamaa ameleta taharuki kubwa kuhusu mafuta na hata kama ikitokea jambo kama analosema jitahada za haraka zitachukuliwa za muda mfupi sababu kenya huwa wanaingiza mafuta ya kutosha sana kupitia bandari yao ya mombasa tungeweza kuchukua huko huku tuna solve tatizo letu.
Unajuwaje kama meli ipo njiani?
 
Tuliwaambia cheo dhamana, huyu mwanzo wa mwaka ameshaonesha kavalishwa skandodoz wakati ana mguu wa mtoto!
Hahaha,si muda kuna TEAM MAMA ANAUPIGA MWINGI mmoja eti alinijibu,HAKUKUA na UHURU wa kuongea.Daah aiseee tutaona mengi sana Sasa hivi
 
Hivi makamba anaposema kauli ya uhakika ni ya serikali kwani huyo mkurugenzi wa TPDC anafanya kazi wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23]Anafanya kazi mochwari [emoji23][emoji23] Tz sometimes inabd ucheke tu hzi kaul za viongoz wetu.
 
Utakuwa nashida kubwa Sana kichwani. Unahitaji msaada wa daktari
Nakuona upo kazini
2044734008.jpg
 
Sio mbaya kutoa majibu kama haya ili kupunguza Panic..., ila ni muhimu kujitafakari kama Waziri kwanini haya yanatokea
 
Back
Top Bottom